Wazungu wengi hunukia harufu moja je hio harufu ni mafuta au perfume gani?

Hahahahah swali lako limenichekesha sana hahaha hyo harufu unayoisikia ni jasho hahaha hawaogi hahaha
 
Daaah yaani we ile harufu unaipenda? Niiteni mbaguzi ila kwenye daladala nikiona mzungu amekaa kama kuna siti zingine sikai. Ile harufu huwa najisikia ovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…