CLES B
JF-Expert Member
- Jul 7, 2013
- 733
- 458
Huwa wanapaka Sun block/sun shed ili kulinda ngozi yao na mionzi ya juaKama ulishakutana na watasha somewhere wakikupitia utasikia harufu moja very amaizing je inaitwaje kama inauzwa madukani tuambiane .............