Wazungu wengi hunukia harufu moja je hio harufu ni mafuta au perfume gani?

Wazungu wengi hunukia harufu moja je hio harufu ni mafuta au perfume gani?

Mbona huwa wananukia vyema tena pafyum imetuliaaaa mi naokutana nao wananukia vyema tu
 
Ile ni harufu ya jasho la mwili mkuu/Harufu ya ngozi ya mwili wao! ila sema wana mafuta yao malaini wanajipaka kwenye mikono ngoja nitarudi
 
Labda wanapaka lotion ya kuzuia mionzi ya jua...
Maana kuna ukweli na huwa wana hiyo harufu wakiwa Tz tu...ndio maana nahisi wanapaka kitu kimoja most likely kujikinga na mionzi sababu ngozi zao ni sensitive
 
Mnaongozwa na mitazamo tu...nani kawaambia wao wanavutiwa na harufu zenu? ni rahisi ku notice kwa sababu ni harufu ngeni ila kila binaadamu ana harufu yake sema tu "lake mtu halimtapishi".

Nakumbuka nilipokuwa mdogo (miaka ya 1980 hivi) ilikuwa kama tunakataa kuoga basi Wazazi wanakuambia 'unataka kuwa kama mua....ha, wakimaanisha wenyeji wa pale/mkoa ule tulipohamia , ambapo walikuwa wanafika sana maeneo ya jirani na Nyumba tuliyokuwa tunaishi wakichunga Ng'ombe, Mbuzi na Kondoo zao...siku za mwanzo kuishi pale ile harufu mchanganyiko na mifugo ilikuwa inanifanya hata nashindwa kula chakula usiku.

Pia tukumbuke wengi wanatoka nchi zenye baridi hivyo hali ya joto lazima itasababisha miili yao ku react na ku produce aina fulani ya kemikali kama defence mechanisim.
 
Nafwazzz u know, mtu anapenda harufu ya mzungu[emoji23][emoji23]
 
nikweli wana harufu inayofanana niliwahi kuwauliza wakaniambia inaitwa harufu ya dhahabu. wakioga inaondoka ,wakitoa jacho lazima utaisikia .
Walikudanganya. Siri yao inajulikana, wanatumia karatasi wanapokwenda kwa choo. Ndio hiyo harufu inabakia. Na kama ulivyoandika wakioga au wakitumia maji kujisafisha harufu "inayofanana" inaondoka.

Tutumie maji kwa kujisafisha baada ya haja kubwa na ndogo na baadae kama ni mpenzi wa karatasi, tumia kukausha majimaji au tumia kitambaa(towel) kukausha majimaji.
 
Mtoa mada kaulizia harufu fulani amazing yaani inamvutia ila kwa chuki na ubaguzi uliowajaa wengi wanatoa majibu ya ku generalize wazungu wananuka hawaogi.

Hii forum ingekuwa ya wazungu wana discuss waafrika wananuka dunia nzima ingejua.
 
Wazungu nawasikiaga wote wana harufu fulani hivi mbayaaaa
Hata mimi, huwa nasikia harufu moja so unpleasant kutoka kwa wazungu. Tena watu wa Asia ndo harufu mbaya kabisaaa. Yani inshort hawa watu weupe wanatoa kiharufu flani hivi cha kibeberu
 
Hiyo harufu kama uliisikia ukiwa huko kwao sijui lakini kama uliisikia ya hapo bongo itakuwa ni mosquito cream!
 
Mtoa mada kaulizia harufu fulani amazing yaani inamvutia ila kwa chuki na ubaguzi uliowajaa wengi wanatoa majibu ya ku generalize wazungu wananuka hawaogi.

Hii forum ingekuwa ya wazungu wana discuss waafrika wananuka dunia nzima ingejua.
Nzi pia wanapenda harufu moja very amazing. Harufu hiyo inawavutia sana. Je mtu akitoa jibu hapa, unatalaumu kwamba watu wanachukia nzi kwa sababu wanapenda hiyo harufu?
 
Kama ulishakutana na watasha somewhere wakikupitia utasikia harufu moja very amaizing je inaitwaje kama inauzwa madukani tuambiane .............
Mimi huwa naona inafanana na ya nguruwe wa kufugwa.Funny,isn't it.Anayetaka afanye utafiti ataona ni kweli.Ipo sababu kwa nini.Siku nikiamka vizuri nitaelezea ukweli wa jambo hili.
 
Back
Top Bottom