raxx
JF-Expert Member
- Apr 9, 2016
- 326
- 284
Harufu ya ile lotion inayoitwa carrolight demu akiwa anapaka hiyo lotion huwa naisi kama kufa hivi.Hii ni hata wadada wa kibongo wanaotumia mkorogo...wana harufu flani mbayaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harufu ya ile lotion inayoitwa carrolight demu akiwa anapaka hiyo lotion huwa naisi kama kufa hivi.Hii ni hata wadada wa kibongo wanaotumia mkorogo...wana harufu flani mbayaaa
Vp na mimi ngozi nyeusi nikijipaka ina madhara?Huwa wanapaka Sun block/sun shed ili kulinda ngozi yao na mionzi ya jua
Kinacholindwa ni melanocytes..cell zinazotengeneneza melanin ambayo humpatia mtu color texture... Labda we useme unapaka ili uweje au nini kitokee?Vp na mimi ngozi nyeusi nikijipaka ina madhara?
Ni kwa ajili ya mionzi ya jua ni jelly inayotumika mara nyingi wakiwa mikoa yenye joto hasa dar es salaam sio dawa ya kuzuia mbu zipo za aina tofauti kwa maana ya muda inayoweza kukaa kwa mwilini kwa siku mfano:Kama ulishakutana na watasha somewhere wakikupitia utasikia harufu moja very amaizing je inaitwaje kama inauzwa madukani tuambiane .............
Ni albino wa aina yake hawa itakuwa!Wanashangaza wanapaka mafuta ya kujikinga na mionzi ya jua halafu ni hodari wa kukesha juani(unaweza mkuta mzungu anaota jua hadi la saa tano sita mchana)
Wachina Ndo hatari Mkuu...yan wanatoa vibaya!!!Kama ulishakutana na watasha somewhere wakikupitia utasikia harufu moja very amaizing je inaitwaje kama inauzwa madukani tuambiane .............
Wachina Ndo hatari Mkuu...yan wanatoa vibaya!!!