R-K-O
JF-Expert Member
- Jun 27, 2023
- 482
- 2,178
Niliwahi kuingia kwenye mtandao wa reddit, kuna hawa wazungu ambao wana magundu, madomo zenge, n.k yani huko kwao wanapata wakati mgumu sana kupata wapenzi.
Hii si kwa wanaume tu hata wanawake hata wanaokaribia kuwa mabibi wakija huku ni kuokota tu.
Hawa jamaa huwa wanaenda nchi za asia na afrika kufanya utalii wa kutoa kupata wapenzi kirahisi na kweli wakifika huko huwa wanashobokewa sana.
Hata kuhonga wengi hawahongi huwa ni kuamua tu kutoa tip, wengi wakifika hapa kwetu bongo nadhani huwa mnaona hata mzungu akiweka picha tu kwenye group kwamba yupo mkoa flani basi full kushobokewa,