Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Vita imana🥰🥰Nakingi Bino - Nakupendaga sana
''Tika ngai ngai Mokoo'' yaani Niache peke yangu au nipotezee
Namkumbuka zuberi msabaha
Haa...napenda kikongo mimi,lugha yao iko romantic sana. Hebu mmoja anipe verse yoyote ya jb mpiana kwa tafsiri ya kiswahili hasa kutoka ule wimbo wa feux d'amour
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app