Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Alikiwa anatamka jina lake "Zubeghi"!Namkumbuka zuberi msabaha
R.I.P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikiwa anatamka jina lake "Zubeghi"!Namkumbuka zuberi msabaha
Otimbi na timbeli yoHivi ile otimbi na timbilio ya diamond maana yake ni nini
Utanilipa au ni furahisha genge?Hapa wadau
Ni iwe ulijifunza, uliishi Congo na unaweza kuongea lingala basi unaweza kushare hata mistari miwili mitatu ukaeleza ina maana gani ili watu wanifunze lingala,
Mfano ule wimbo wa donat mwanza pale alipoimba “ Bana Congo tosimbanamaboko, congo elonga alimaanisha “ wakongomani wote tushikane mkono au tuungane Kongo isonge mbele “
Maneno kama Bolingo Nangai ni kusema mpenzi wangu au posa na bolingo inamaana ya kiu ya mapenzi, naomba wadau tuendelee kutiririka.
Kumbe alishakufa huyu mwamba hivi alikuwa na umri gani halafu kile kipindi chake sasa hivi kiko juma ngapi na SAA ngapiAlikiwa anatamka jina lake "Zubeghi"!
R.I.P
Nimeacha kusikiliza hiyo redio kitambo,Kumbe alishakufa huyu mwamba hivi alikuwa na umri gani halafu kile kipindi chake sasa hivi kiko juma ngapi na SAA ngapi
Maana yake mwisho wa mapenzi... Kuna sehemu anasema. Bota na ndenge masua eponana... Yaan ona meli inavyoondoka BandariniHaa...napenda kikongo mimi,lugha yao iko romantic sana. Hebu mmoja anipe verse yoyote ya jb mpiana kwa tafsiri ya kiswahili hasa kutoka ule wimbo wa feux d'amour
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28]Otimbi na timbeli yo
Ukiniheshimu nami nitakuheshimu
Nimepata sentensi hapo,,, Sherry kitoko nangai - mwanamke wangu mzuriSherry nangai-mwanamke wangu
Mwasi kitoko-msichana(binti) mzuri
Watu hatuchelewagi nilishamposti jana,wacha acheke,anasema utakuwa chizi wewe soon😄😄Nimepata sentensi hapo,,, Sherry kitoko nangai - mwanamke wangu mzuri
(Ngoja nimpost shemeji yenu Whatsapp na status hiyo)
Hatari hii ngomahii ngoma ilisukwa ikasukika, sielewi chochote lakini haikwepeki hii ngoma! naikubali kinoma
Jumanne kuanzia saa 4-7 usiku,mtangazaji ni Charles Machugu, anajitahidi kwa kiasi chakeKumbe alishakufa huyu mwamba hivi alikuwa na umri gani halafu kile kipindi chake sasa hivi kiko juma ngapi na SAA ngapi