Wazungumzaji wa lingala na kiswahili cha kikongo tupeane phrases za Lingala

Wazungumzaji wa lingala na kiswahili cha kikongo tupeane phrases za Lingala

Hapa wadau
Ni iwe ulijifunza, uliishi Congo na unaweza kuongea lingala basi unaweza kushare hata mistari miwili mitatu ukaeleza ina maana gani ili watu wanifunze lingala,
Mfano ule wimbo wa donat mwanza pale alipoimba “ Bana Congo tosimbanamaboko, congo elonga alimaanisha “ wakongomani wote tushikane mkono au tuungane Kongo isonge mbele “
Maneno kama Bolingo Nangai ni kusema mpenzi wangu au posa na bolingo inamaana ya kiu ya mapenzi, naomba wadau tuendelee kutiririka.
Nalingi koloba lingala Papaa!!! umefanya vizuri kuileta kwa jukwaa hii ishu
 
Back
Top Bottom