The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,663
- 2,293
Sometimes inaweza kuwa sawa maana baadhi ya kazi zinainvolve kuzurula mfano umachinga.
Sometimes inaweza kuwa sawa maana baadhi ya kazi zinainvolve kuzurula mfano umachinga.
Akishawakamata atawapeleka wapi na kwa mda gani?Swali la kujiuliza kama shughuli za wananchi hazijazuiliwa kuendelea, ni vigezo gani vitatumika kukamata wazurulaji? Wazurulaji wana alama?
Haiwezekani, kumbuka huyu ndio msiri anayetumwa na jiwe kuangamiza wale wote wanaompinga na kumkosoa!Hivi haiwezekani kwamba huyu mpumbavu akashughulikiwa?
Nakuunga mkono 100%Huyu naye anatuchanganya kila siku anaongea tofauti, jana kasema tupige kazi, leo anasema kesho wanaozurura watakamatwa.Mmekuwa futuhi mara mnasema wafungwa waachiwe kwa ajili ya corona halafu wazururaji wakamatwe kwa ajili ya corona
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Unmatured and uncivilized people siku zote upenda kusikika masikioni mwa watu kila mudaHuyu naye anatuchanganya kila siku anaongea tofauti,jana kasema tupige kazi,leo anasema kesho wanaozurura watakamatwa. Mmekuwa futuhi mara mnasema wafungwa waachiwe kwa ajili ya corona halafu wazururaji wakamatwe kwa ajili ya corona
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Ukinishika ovyo nakufa na mtu yaani itakuwa ni historia
Jana tumesikia mpango wa kuwatoa mahabusu kwa kurahisisha dhamana lakini leo tunasikia tena mpango wa kukamata wazurulaji. Mipango ni mingi.