Wazurulaji wanaolengwa kukamatwa na RC Makonda ni akina nani?

Swali la kujiuliza kama shughuli za wananchi hazijazuiliwa kuendelea, ni vigezo gani vitatumika kukamata wazurulaji? Wazurulaji wana alama?
Akishawakamata atawapeleka wapi na kwa mda gani?

Atawafikisha mahakamani?

Hizi ni alama za nyakati. Pengine wakati ndio huu umewadia. Tuvute subira kidogo.
 
Machangudoa, wacheza pooltable mchana, walevi wa mchana kweupe, wachezesha kamari za patapotea nk. Wote hao ni wazururaji.
 
Usimwamini mtu zaidi ya nafsi yako peke yako na Mungu wako. Watu wanabadilika
 
Nakuunga mkono 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu sio wakati wa kuzurura
Nenda ofisi kwako
Iwe machinga, mechanics, shopkeeper
Lakini wapo kweli watu wazururaji mtu anakuja tu oohh nimekuja kukusalimia uje unisalimie umekuwa corona ya Africa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unmatured and uncivilized people siku zote upenda kusikika masikioni mwa watu kila muda
 
mrangi,
Umewaza mbali sana mkuu. Polisi na mgambo watapiga hela hapo rushwa itatembea wizi na unyang'anyi vitafanyika, kusachiwa bila mpangilio.
 
1. Mbowe
2 Mnyika
3 Halima Mdee
4 Boniface
5 Zitto
6 Ngongo
 
Kama nia yake ni social distancing iwekwe wazi. Waziri Mkuu na Waziri wa Afya ndio wasemaji wakuu wa Magufuli.

Update zitolewe na watu wenye sifa sahihi, kinyume chake tunajenga matatizo yanayoweza kuleta maangamizi makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…