mtume wawatu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2016
- 1,053
- 1,199
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaah! Nimefurahi kusikia hivyo ili niendelee kupambana zaidi ili kuitoa nchi yangu kwenye hiyo list.
Naamini Jitihada zangu ndo zitafanya maisha yangu kuwa mazuri au mabaya hayo mengine yaliyobaki Niya watu wazembe na watu wa kulia lia.
New World Bank country classifications by income level: 2020-2021).Kitabu kipya cha Benki ya Dunia Ukurasa wa 46, kimeitaja Tanzania kama moja ya nchi yenye watu masikini milino 28, kimeeleza kuwa nchi tano za afrika ndio zinabeba nusu ya masikini walioko kusini mwa jagngwa la Sahara
Nchi hizo ni
Nigeria (79 million)
Democratic Republic of Congo (60 million)
Tanzania (28 million)
Ethiopia (26 million)
Madagascar (20 million)
View attachment 1605300
Kama kawaida yao wamesema wamezingatia kiwango cha hela kwa kutumia PPP
Pia hiyo Poverty map ni kwa data zilizokusanya 2017
View attachment 1605304
View attachment 1605316
Tz na Madagascar wazee wa kovid kumi na tisaKitabu kipya cha Benki ya Dunia Ukurasa wa 46, kimeitaja Tanzania kama moja ya nchi yenye watu masikini milino 28, kimeeleza kuwa nchi tano za afrika ndio zinabeba nusu ya masikini walioko kusini mwa jagngwa la Sahara
Nchi hizo ni
Nigeria (79 million)
Democratic Republic of Congo (60 million)
Tanzania (28 million)
Ethiopia (26 million)
Madagascar (20 million)
View attachment 1605300
Kama kawaida yao wamesema wamezingatia kiwango cha hela kwa kutumia PPP
Pia hiyo Poverty map ni kwa data zilizokusanya 2017
View attachment 1605304
View attachment 1605316
Huo ni mtazamo wako Wala hauwezi kuingiliana na mtazamo Wangu hata kidogo.Jitihada zako zinaweza kuwa bure bila connection au sera nzuri
Tanzania ina maisha mazuri na rahisi sana kwa raia.Jamani nyie mnaotmebeq huku na kule,,givi maisha ya kawaida ya Mtanzania ukilinganisha na ya Mganda,Rwanda,Zambia, Malawi, Msumbiji..wapi kunaunafuu wa umasikini?
Njoo Segese uone vijana wadogo wanvyomiliki magari na majumba. Mmebakiza umbea na kunywa Alkasusu.Matajiri waliahidiwa kuishi kama Mashetani sasa Masikini wataishi kama takwimu za WB
Magufuli apumzishwe kwa Kura
Hizo nchi population zao ni ndogo kuliko nchi tajwa. so nchi tajwa zina raia kibao kitu kinacholeta wao kuchangia idadi kubwaJamani nyie mnaotmebeq huku na kule,,givi maisha ya kawaida ya Mtanzania ukilinganisha na ya Mganda,Rwanda,Zambia, Malawi, Msumbiji..wapi kunaunafuu wa umasikini?
Eti uchumi wa kati, watu ni maskini hadi kwenye kope za macho, hawana chakula sembuse mahitaji mengine kama nguo? Watu wamevaa mitumba miaka nenda rudi, Nchi ni maskini mno. CCM ni sababu ya matatizo yote hayo.Jamani nyie mnaotmebeq huku na kule,,givi maisha ya kawaida ya Mtanzania ukilinganisha na ya Mganda,Rwanda,Zambia, Malawi, Msumbiji..wapi kunaunafuu wa umasik
Tena kwa mbwembweAlafu tunajengea marais wastaafu mahekalu huku mamilioni ya wanaanchi wa kawaida wanaishi katika lundo la umasikini.
Hizo nyumba za nini wakati wana nyumba nyingi kila mahali na wanalipwa pensheni kubwa tu hao marais wastaafu. Kila mmoja wetu anafahamu, Huo ni ubadhirifu wa pesa za serikali kama alivyofanya kule Chato na kuwapa nyumba za serikali watu walio karibu naye.Tena kwa mbwembwe
Hizo nyumba wangejenga madarasa zaidi ya 100Hizo nyumba za nini wakati wana nyumba nyingi kila mahali na wanalipwa pensheni kubwa tu hao marais wastaafu. Kila mmoja wetu anafahamu, Huo ni ubadhirifu wa pesa za serikali kama alivyofanya kule Chato na kuwapa nyumba za serikali watu walio karibu naye.
Tzn Kuna ile Hali ya watu kuishi kwa kuganga njaa Kama wadangaki yaani unaamka kwenda kubangaiza,kitu kinachotuokoa ni unafuu wa bei za vyakula.Jamani nyie mnaotmebeq huku na kule,,givi maisha ya kawaida ya Mtanzania ukilinganisha na ya Mganda,Rwanda,Zambia, Malawi, Msumbiji..wapi kunaunafuu wa umasikini?
Nchi hii ina viongozi wajinga Sana na ukichunguza shida ni kwamba hatuhusishi watu wenye uwezo kupanga na kusimamia sera zenye ustawi wa watu,badala yake kinachoongoza ni utashi wa kisiasa na matakwa binafsi ya kiongozi ndio maana kila rais anakuja na habari zake na kuvuruga au kuacha yaliyotangulia sasa nchi kuendeshwa namna hii tutaendelea kufanya maritime.Alafu tunajengea marais wastaafu mahekalu huku mamilioni ya wanaanchi wa kawaida wanaishi katika lundo la umasikini.
Hata pale walipojenga byumba za tofari ni vibanda ili tu kujikinga na jua na mvua.Huwa napenda kutumia kiasharia za umeme,Kijiji Chenye kaya is hizo 2000 unakuta waliifanikiwa kuingiza umeme wa 27,000 hata 100 hawajafika,you can imagine.Mjini sasa kaya za watu kuanzia 3-6 tumerundikana kwenye nyumba za chumba sebule yaani vyumba 2 huku choo kikiwa kimoja hapo Sasa ndio shughuli ilipo.1. Population ya Tanzania ni approximately 60,000,000...
2. Kwa kesi hii, maana yake 28,000,000 wanaishi katika umasikini wa kutupwa (abject poverty)...
3. I agree. Kwa sababu ukitembea maeneo ya vijijini, hali ya maisha ya watu bado ni mbaya sana..
4. Indicator ya kwanza inayokuonesha kuwa watu wako ktk hali ya umasikini wa hatari, ni makazi (nyumba) wanazoishi...
5. Kwenye ishu ya makazi (nyumba), unaweza ukifika kwenye kijiji chenye kaya 2,000, ni kaya zisizozidi 50 pekee kijiji kizima ndiyo wanaishi ingalau kwenye nyumba iliyoezekwa kwa bati huku kaya 1,950 zikiwa zinaishi kwenye makaazi (nyumba) duni zilizoezekwa kwa nyasi na udongo juu maàrufu kama "tembe" ambazo ni hatarishi kupita maelezo...!!
6. Kwa hakika kabisa, huwezi kutumia mabilioni ya fedha kujengea nyumba za kifahari marais wastaafu, Rais wa nchi kujijengea uwanja mkubwa wa ndege na michezo kijijiji kwako huku wananchi wako wakiwa wanaishi maisha ya umasikini uliopindukia kama hawa 28,000,000...!!
KWA HAKIKA watu tunahitaji FREEDOM, JUSTICE & PEOPLES' CENTERED DEVELOPMENT..
Hii ndiyo maana ya uchaguzi huu mkuu wa 2020.!!!