WB: Takribani nusu ya wanaoishi katika umasikini mkubwa chini ya Jangwa la Sahara wanapatikana kwenye nchi tano Tanzania ikiwemo

WB: Takribani nusu ya wanaoishi katika umasikini mkubwa chini ya Jangwa la Sahara wanapatikana kwenye nchi tano Tanzania ikiwemo

Matajiri waliahidiwa kuishi kama Mashetani sasa Masikini wataishi kama takwimu za WB

Magufuli apumzishwe kwa Kura
 
Jitihada zako zinaweza kuwa bure bila connection au sera nzuri
Yaah! Nimefurahi kusikia hivyo ili niendelee kupambana zaidi ili kuitoa nchi yangu kwenye hiyo list.

Naamini Jitihada zangu ndo zitafanya maisha yangu kuwa mazuri au mabaya hayo mengine yaliyobaki Niya watu wazembe na watu wa kulia lia.
 
Na katika idadi ya flyover zilizopo kusini mwa jangwa la sahara Tanzania
 
Kitabu kipya cha Benki ya Dunia Ukurasa wa 46, kimeitaja Tanzania kama moja ya nchi yenye watu masikini milino 28, kimeeleza kuwa nchi tano za afrika ndio zinabeba nusu ya masikini walioko kusini mwa jagngwa la Sahara

Nchi hizo ni
Nigeria (79 million)
Democratic Republic of Congo (60 million)
Tanzania (28 million)
Ethiopia (26 million)
Madagascar (20 million)



View attachment 1605300

Kama kawaida yao wamesema wamezingatia kiwango cha hela kwa kutumia PPP
Pia hiyo Poverty map ni kwa data zilizokusanya 2017

View attachment 1605304
View attachment 1605316
New World Bank country classifications by income level: 2020-2021).

New World Bank country classifications by income level: 2020-2021​

|JULY 01, 2020

This page in:​


EnglishFrançaisEspañol中文العربية
Updated country income classifications are available here.
The World Bank assigns the world’s economies to four income groups—low, lower-middle, upper-middle, and high-income countries. The classifications are updated each year on July 1 and are based on GNI per capita in current USD (using the Atlas method exchange rates) of the previous year (i.e. 2019 in this case).
The classifications change for two reasons:
  1. In each country, factors such as economic growth, inflation, exchange rates, and population growth influence GNI per capita. Revisions to national accounts methods and data can also influence GNI per capita. The updated data on GNI per capita data for 2019 can be accessed here.
  1. To keep the income classification thresholds fixed in real terms, they are adjusted annually for inflation. The Special Drawing Rights (SDR) deflator is used which is a weighted average of the GDP deflators of China, Japan, the United Kingdom, the United States, and the Euro Area. This year, the thresholds have moved up in line with this inflation measure. The new thresholds (to be compared with GNI per capita in current USD, Atlas method) are as follows.

Changes in classifications​

The table below lists the ten economies that are moving to a different category. It is important to emphasize that the World Bank’s income classifications use the GNI of the previous year (2019 in this case). Thus, the GNI numbers that are used for this year’s classification do not yet reflect the impact of COVID-19.


National accounts revisions have played a significant role in the upward revision for Benin, Nauru and Tanzania. For Sudan, the GNI series for 2009-2018 has been revised as a result of revisions to the exchange rates. The 2018 GNI per capita figure has been revised down to $840 from the previously published figure of $1,560 (which is listed in the table). Algeria, Indonesia, Mauritius, Nepal, Sri Lanka and Romania were very close to the respective thresholds last year.

More information​

More detailed information on how the World Bank classifies countries is available here. The country and lending groups page provides a complete list of economies classified by income, region, and lending status and links to previous years’ classifications. The lending groups (IDA, Blend, IBRD) have also been updated. The classification tables include all World Bank members, plus all other economies with populations of more than 30,000. The term country, used interchangeably with economy, does not imply political independence but refers to any territory for which authorities report separate social or economic statistics.
Data for GNI, GNI per capita, GDP, GDP PPP, and Population for 2019 are now available on the World Bank's Open Data Catalog. Note that these are preliminary estimates and may be revised. For more information, please contact us at data@worldbank.org.
 
Kitabu kipya cha Benki ya Dunia Ukurasa wa 46, kimeitaja Tanzania kama moja ya nchi yenye watu masikini milino 28, kimeeleza kuwa nchi tano za afrika ndio zinabeba nusu ya masikini walioko kusini mwa jagngwa la Sahara

Nchi hizo ni
Nigeria (79 million)
Democratic Republic of Congo (60 million)
Tanzania (28 million)
Ethiopia (26 million)
Madagascar (20 million)



View attachment 1605300

Kama kawaida yao wamesema wamezingatia kiwango cha hela kwa kutumia PPP
Pia hiyo Poverty map ni kwa data zilizokusanya 2017

View attachment 1605304
View attachment 1605316
Tz na Madagascar wazee wa kovid kumi na tisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jitihada zako zinaweza kuwa bure bila connection au sera nzuri
Huo ni mtazamo wako Wala hauwezi kuingiliana na mtazamo Wangu hata kidogo.
Mimi naamini mabadiliko yanaanza namimi wewe huamini hivyo.
So, we can't match brow.
 
Jamani nyie mnaotmebeq huku na kule,,givi maisha ya kawaida ya Mtanzania ukilinganisha na ya Mganda,Rwanda,Zambia, Malawi, Msumbiji..wapi kunaunafuu wa umasikini?
Tanzania ina maisha mazuri na rahisi sana kwa raia.
Achilia mbali Msumbiji na Malawi, hapo Kenya kwenyewe raia wanaishi maisha magumu sana ukilinganisha na Tanzania.
 
Matajiri waliahidiwa kuishi kama Mashetani sasa Masikini wataishi kama takwimu za WB

Magufuli apumzishwe kwa Kura
Njoo Segese uone vijana wadogo wanvyomiliki magari na majumba. Mmebakiza umbea na kunywa Alkasusu.
 
Jamani nyie mnaotmebeq huku na kule,,givi maisha ya kawaida ya Mtanzania ukilinganisha na ya Mganda,Rwanda,Zambia, Malawi, Msumbiji..wapi kunaunafuu wa umasikini?
Hizo nchi population zao ni ndogo kuliko nchi tajwa. so nchi tajwa zina raia kibao kitu kinacholeta wao kuchangia idadi kubwa
 
Jamani nyie mnaotmebeq huku na kule,,givi maisha ya kawaida ya Mtanzania ukilinganisha na ya Mganda,Rwanda,Zambia, Malawi, Msumbiji..wapi kunaunafuu wa umasik
Eti uchumi wa kati, watu ni maskini hadi kwenye kope za macho, hawana chakula sembuse mahitaji mengine kama nguo? Watu wamevaa mitumba miaka nenda rudi, Nchi ni maskini mno. CCM ni sababu ya matatizo yote hayo.
 
Tena kwa mbwembwe
Hizo nyumba za nini wakati wana nyumba nyingi kila mahali na wanalipwa pensheni kubwa tu hao marais wastaafu. Kila mmoja wetu anafahamu, Huo ni ubadhirifu wa pesa za serikali kama alivyofanya kule Chato na kuwapa nyumba za serikali watu walio karibu naye.
 
Hizo nyumba za nini wakati wana nyumba nyingi kila mahali na wanalipwa pensheni kubwa tu hao marais wastaafu. Kila mmoja wetu anafahamu, Huo ni ubadhirifu wa pesa za serikali kama alivyofanya kule Chato na kuwapa nyumba za serikali watu walio karibu naye.
Hizo nyumba wangejenga madarasa zaidi ya 100
 
Jamani nyie mnaotmebeq huku na kule,,givi maisha ya kawaida ya Mtanzania ukilinganisha na ya Mganda,Rwanda,Zambia, Malawi, Msumbiji..wapi kunaunafuu wa umasikini?
Tzn Kuna ile Hali ya watu kuishi kwa kuganga njaa Kama wadangaki yaani unaamka kwenda kubangaiza,kitu kinachotuokoa ni unafuu wa bei za vyakula.
Ukitaka kujua kwamba Hali ni mbaya angalia tu bei za kupangisha na hadhi ya makazi,sasa hivi watu wamepelekewa umeme vijijini lakini 27,000 imewashinda.Ethiopia kwa mfano kinachowakimbiza kwao ni majanga yanawaathiri Sana ko mtu akijitahidi anakuja kula hasara but kwa Tzn tuna nafuu ya kutopatwa na majanga ya asili Mara kwa Mara .On top of that hapo Kenya Kuna omba omba wengi Sana kutoka Tzn na wanaofanya biashara za umalaya.
 
Alafu tunajengea marais wastaafu mahekalu huku mamilioni ya wanaanchi wa kawaida wanaishi katika lundo la umasikini.
Nchi hii ina viongozi wajinga Sana na ukichunguza shida ni kwamba hatuhusishi watu wenye uwezo kupanga na kusimamia sera zenye ustawi wa watu,badala yake kinachoongoza ni utashi wa kisiasa na matakwa binafsi ya kiongozi ndio maana kila rais anakuja na habari zake na kuvuruga au kuacha yaliyotangulia sasa nchi kuendeshwa namna hii tutaendelea kufanya maritime.
Mbaya zaidi kiwango Cha uzazi ni kikubwa huku ujinga na umaskini vikizidi kutamalaki.Hii ni hatari Sana kwa nchi ambayo ina mfumo mbovu wa utawala ambao Rais ndio alpha na Omega
 
1. Population ya Tanzania ni approximately 60,000,000...

2. Kwa kesi hii, maana yake 28,000,000 wanaishi katika umasikini wa kutupwa (abject poverty)...

3. I agree. Kwa sababu ukitembea maeneo ya vijijini, hali ya maisha ya watu bado ni mbaya sana..

4. Indicator ya kwanza inayokuonesha kuwa watu wako ktk hali ya umasikini wa hatari, ni makazi (nyumba) wanazoishi...

5. Kwenye ishu ya makazi (nyumba), unaweza ukifika kwenye kijiji chenye kaya 2,000, ni kaya zisizozidi 50 pekee kijiji kizima ndiyo wanaishi ingalau kwenye nyumba iliyoezekwa kwa bati huku kaya 1,950 zikiwa zinaishi kwenye makaazi (nyumba) duni zilizoezekwa kwa nyasi na udongo juu maàrufu kama "tembe" ambazo ni hatarishi kupita maelezo...!!

6. Kwa hakika kabisa, huwezi kutumia mabilioni ya fedha kujengea nyumba za kifahari marais wastaafu, Rais wa nchi kujijengea uwanja mkubwa wa ndege na michezo kijijiji kwako huku wananchi wako wakiwa wanaishi maisha ya umasikini uliopindukia kama hawa 28,000,000...!!

KWA HAKIKA watu tunahitaji FREEDOM, JUSTICE & PEOPLES' CENTERED DEVELOPMENT..

Hii ndiyo maana ya uchaguzi huu mkuu wa 2020.!!!
Hata pale walipojenga byumba za tofari ni vibanda ili tu kujikinga na jua na mvua.Huwa napenda kutumia kiasharia za umeme,Kijiji Chenye kaya is hizo 2000 unakuta waliifanikiwa kuingiza umeme wa 27,000 hata 100 hawajafika,you can imagine.Mjini sasa kaya za watu kuanzia 3-6 tumerundikana kwenye nyumba za chumba sebule yaani vyumba 2 huku choo kikiwa kimoja hapo Sasa ndio shughuli ilipo.
Hiyo ni abject poverty bado ule umaskini wa kwenye mstari wa pambizo mda wowote mtu anarudi nyuma
 
Back
Top Bottom