Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Mara zote naunga mkono Serikali kukopa na Kwa kweli Iendelee kukopa Kwa sababu Nchi zote zilizoendelea zinakopa sana.
Hoja ni aina gani ya mikopo? Mikopo ya dizaini hii sikubalini kabisa.
Aliyeelewa jinsi huo Mkopo utatekekeza hayo mambo anisaidie.👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DDezmT7NXpU/?igsh=MXhsOTVicXMxeXNidg==
My Take
Mikopo ya hivi sijui nani Huwa anashuri na kuipitisha.
Kuna maeneo hayana Barabara za Mikoa kwa Mikoa badala tukopee miradi tunakopea posho,duu kazi ipo.
I stand to be corrected.
Mikopo hii ni kwa ajili ya kuniweka sawa kwa uchaguzi ujao kwani ni uchaguzi unaohitaji mgombea ajipake mapesa ili kila apitapo wapigakura wamtambue bila ya kuuliza. Hizo ni baadhi tu ya pesa watakazo gawana, hebu turejee zile pesa za juzi eti pesa za sherehe ya Uhuru zitumike mikoani kwa kufanya sijui jigijigi! Kuna wa Arusha waliombea mapepo, kuna wa Moshi walisafishia makaburi! Kuna wa Dar hatujui kama kweli walipanda miti na sijui waliinunia toka kwa mganga gani! Ila zilitumika kwa kupeana, nalo ni deni kwetu kwani tumepigwa na tutaendelea kupigwa mpaka uchaguzi uishe.