WCB: Birthday ya 21 ya mavoko,sherehe tunafanyia South Afrika.

πŸ™„ 21 yrz!!!!!!!!!!!
Sura yake ina- reflate 29-30Yrz au kaambiwa ukidanganya Umri utazidi kukaa Mzigoni kama hawa wazee waliokomalia maofisini wakiamini bado umri unamruhusu ! Mavoco bhana😡!
 
Jaribuni kuwa waelewa,kuna umri wa kazi na umri halisi. Overstood?
 
miake 21 labda ya zimbabwe aisee sio bongo kwakwel
 
Miaka 21 muonekano hule?huu ni uongo tena wa mchana kweupe au kwavle analelewa na WCB wakat agemet ya diamond kabisah yule
 
Duh, wakati anatoa ule wimbo video yake yuko LULU alikuwa na umri gani? Ebu tuacheni fix.
 
He is from the future.πŸ˜€
 
Unashangaa mavoko kua 21 dully saks alisema ana miaka 19 nikashika shavu
 
Samahani miaka mingapi vilee???
Huu uongo Mimi umegoma kumezeka.
Itakuwa ni 31 maana sio kwa uzee ile kama wa miaka 60.
Huyo sio wa 95 mwishoni huyo.
 
Sio kweli mkuu mavoko hawezi kuwa mdogo hivyo


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mavoko mtoto wa mwaka 1996 huu ni uongo mkuu
 
Miaka 21 duuh siwezi amini hata nioneshwe cheti cha kuzaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…