WCB, Diamond na Rayvanny watozwa Tsh milioni 9 kutokana na maudhui mabovu ya wimbo 'Mwanza'

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
WCB , Diamond na Rayvanny wametozwa tsh milioni 9 kutokana na maudhui mabovu ya wimbo 'Mwanza'

BASATA imewatoza faini ya Tsh. Milioni 3 kila mmoja Mwanamuziki Diamond Platnumz, Mwanamuziki Rayvanny na Lebo nzima ya Wasafi Classic

Aidha, Wasanii hao wamepewa maelekezo wauondoe wimbo huo 'YouTube' vinginevyo wa mamlaka waliyonayo BASATA watafungiwa kufanya shughuli za sanaa

Vile vile BASATA imesisitiza kuwa mtu yeyote, kwa sehemu yoyote au chombo chochote kisiutumie wimbo huo kwa sababu haufai kwa matumizi yoyote yale
 
Sawa
 
Kuzuiwa kufanya shughuli za sanaa nchini...wanaweza kwenda kufanyia kenya au hata south africa, hawana ubavu huo hawa viongozi wa BASATA waondolewe
 
Anae wachagua Viongozi wa Basata Ni nani????

Kinacho nikeraga Ni Wasanii kuwashobokea BASATA

BASATA kuendelea Kuongea ongea kuhusu wimbo huuu ni kuupa kiki now days Watanzania Washa Janjaruka Wimbo ukitoka Tuuu wa Download basi labda watukamate watanzania wote tunaosikiliza huo wimbo
 
Kuzuiwa kufanya shughuli za sanaa nchini...wanaweza kwenda kufanyia kenya au hata south africa, hawana ubavu huo hawa viongozi wa BASATA waondolewe
Jaribu kuwa serious basi,akafanyie mziki nje ya nchi ? Angeweza tu kama mashairi yake pamoja na lugha ingekuwa inajulikana ,hivi unapoimba nyege,nyege ,nyegezi unakuwa unaimanisha nini?
 
Hapa nilipo napata safari wimbo unarudiwa kama mara 20 hivi..washachelewa tunaendelea kuburudika
 
WCB , Diamond na Rayvanny wametozwa tsh milioni 9 kutokana na maudhui mabovu ya wimbo 'Mwanza'

BASATA imewatoza faini ya Tsh. Milioni 3 kila mmoja Mwanamuziki Diamond Platnumz, Mwanamuziki Rayvanny na Lebo nzima ya Wasafi Classic

Aidha, Wasanii hao wamepewa maelekezo wauondoe wimbo huo 'YouTube' vinginevyo wa mamlaka waliyonayo BASATA watafungiwa kufanya shughuli za sanaa

Vile vile BASATA imesisitiza kuwa mtu yeyote, kwa sehemu yoyote au chombo chochote kisiutumie wimbo huo kwa sababu haufai kwa matumizi yoyote yale
Wimbo bado upo You Tube na viewers wanazidi kuongezeka. Unapigwa African Beauty(na yale mauchi uchi) itakuja kuwa Mwanza(Nyegezi).
 
Back
Top Bottom