Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,592
- 2,381
Shika adabu yako tunazungumzia wimbo wa mwanzaMbona mnawapakua wake zenu mitaro huko majumbani,halafu mkija kwenye jamii mnajifanya ni watu safi....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shika adabu yako tunazungumzia wimbo wa mwanzaMbona mnawapakua wake zenu mitaro huko majumbani,halafu mkija kwenye jamii mnajifanya ni watu safi....
UMEONDOLEWA MKUU
Tunapangiwa hata vya kusikiliza?
Hovyo kabisa.
Ishike adabu yako kwanza ,na sisi tutazishika zetu kunguru wewe, hivi slipomtaja amberruty kusema usije shikwa ukapelekwa central ..hapo anakemea au anahamasisha ,huo mtaro utafukuliwa wako maana una tabia zileee za konki konkiShika adabu yako tunazungumzia wimbo wa mwanza
anamaanisha NyegeziJaribu kuwa serious basi,akafanyie mziki nje ya nchi ? Angeweza tu kama mashairi yake pamoja na lugha ingekuwa inajulikana ,hivi unapoimba nyege,nyege ,nyegezi unakuwa unaimanisha nini?
Basata wana njaa tuWCB , Diamond na Rayvanny wametozwa tsh milioni 9 kutokana na maudhui mabovu ya wimbo 'Mwanza'
BASATA imewatoza faini ya Tsh. Milioni 3 kila mmoja Mwanamuziki Diamond Platnumz, Mwanamuziki Rayvanny na Lebo nzima ya Wasafi Classic
Aidha, Wasanii hao wamepewa maelekezo wauondoe wimbo huo 'YouTube' vinginevyo wa mamlaka waliyonayo BASATA watafungiwa kufanya shughuli za sanaa
Vile vile BASATA imesisitiza kuwa mtu yeyote, kwa sehemu yoyote au chombo chochote kisiutumie wimbo huo kwa sababu haufai kwa matumizi yoyote yale
Baba mleziHivi mkuu wa mkoa wa Dar , Bw. PAUL MAKONDA ametokomea wapi?
Ndiyo amesema ukweli kuwa ukiendekeza michezo ya amber rut utajikuta Central Police ukijibu mashtaka.Sio hivo ...ebu nambie MTU anaposema michezo ya amberut anamaana gani ....haya pale kulikua na haja ya Kusema nyege bila kumalizia???..
Nyege je????Nyegezi ni tusi?
Basata wanafeli