WCB, Diamond na Rayvanny watozwa Tsh milioni 9 kutokana na maudhui mabovu ya wimbo 'Mwanza'

WCB, Diamond na Rayvanny watozwa Tsh milioni 9 kutokana na maudhui mabovu ya wimbo 'Mwanza'

Too late! Hapo ndipo ninapo ona yule dada yetu aliyetaka kupigwa na Sugu lakini akamuonea huruma (sijui tayari amesha tuletea mjomba au bado) anapo kurupuka kwa kushirikiana na Basata yake. Alisema kuwa wimbo kabla ya kutolewa kwenye public ni lazima msanii apeleke mashairi yake ya huo wimbo BASATA ili yakahakikiwe. Sasa kwa Vanny boy na Mond kwa nini waliruhusu mpaka wimbo umevuja watu wamesha pakua tayari ndio wanagundua makosa. Anyway hizo hela kwa Mond nina uhakika ni sawa na chenji tu labda angekuwa yule "yoh"
 
Kuzuiwa kufanya shughuli za sanaa nchini...wanaweza kwenda kufanyia kenya au hata south africa, hawana ubavu huo hawa viongozi wa BASATA waondolewe
Sasa wataendaje kufanya matamasha huko bila kibali cha mamungu wa BASATA chini ya serikali ya JIWE ?

Au hujasoma kanuni mpya tukufu zinazoungwa mkono na wasanii za BASATA ?
 
Utakuta hao hao walio ufungia wanaimba kimoyo moyo! Na ukipigwa wanatikisa mabichwa yao kama ramani ya bara la Africa
 
Too late! Hapo ndipo ninapo ona yule dada yetu aliyetaka kupigwa na Sugu lakini akamuonea huruma (sijui tayari amesha tuletea mjomba au bado) anapo kurupuka kwa kushirikiana na Basata yake. Alisema kuwa wimbo kabla ya kutolewa kwenye public ni lazima msanii apeleke mashairi yake ya huo wimbo BASATA ili yakahakikiwe. Sasa kwa Vanny boy na Mond kwa nini waliruhusu mpaka wimbo umevuja watu wamesha pakua tayari ndio wanagundua makosa. Anyway hizo hela kwa Mond nina uhakika ni sawa na chenji tu labda angekuwa yule "yoh"
Mil 9 ni chenji lakini kwakuwa umeitolea jasho na unaitoa kwa ajili ya upuuzi wakeee inauma pia...!
 
Jaribu kuwa serious basi,akafanyie mziki nje ya nchi ? Angeweza tu kama mashairi yake pamoja na lugha ingekuwa inajulikana ,hivi unapoimba nyege,nyege ,nyegezi unakuwa unaimanisha nini?
wamembia vijana wezao wenye rika moja na wao, sasa hapo hakuna shida
 
J2 huu wimbo ulirudiwa club zaidi ya mara 10 watu walidata nao, waufungie kote ila sio club, ndio wimbo uliokuja kuupoteza Iokote
 
Kwa wenzetu Kenya, Nyege sio tusi kwani kwenye nyimbo ya Nyota ndogo ft Nonini - nibebe kulikuwa na bonge la tusi(was*nge), lkn cha ajabu Redio zetu walikuwa wanapiga bila kumute, sasa sijajua kama BASATA walienda likizo.
 
Unatumia VPN tu kuucheki weka ip adress ya kenya kazi kwisha
 
Ungekuwa na watoto usingese!a huoo upuziii...lakini pia ukiweza kuimba huo wimbo mbele ya mama na baba akoo bhasi basata watakuwa Wamekoseaa...!

Hivi ni lazima kila kitu msikilize na watoto?
 
Bhasi sikiliza na wazazi wakoo...! Au imbaa tu kwenye gari ambapo kuna wazeee hata vijana wanaojielewaaa... Achenii kutetea ujingaa

Nyege ni msimu kama ilivyo konki
Ametumia usanii wake kuliweka katik wimbo
 
Hivi ni lazima kila kitu msikilize na watoto?
Wewe jamaa ni kichwani maji kabisa hivi unadhani watoto nyimbo wanajifunzia nyumbani? Watoto wanacheza mtaani na huko mtaani Kuna vilibrary na soloon ambazo zinapiga nyimbo muda wote, mtoto anajifunza vitu vingi mtaani kuliko nyumbani, ukisema usiupige nyumbani lakini mtoto akarudi anaimba nyege nyege nyege.
Hivi huwa unatumia Nini kufikiri?
 
Back
Top Bottom