Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
SawaWCB , Diamond na Rayvanny wametozwa tsh milioni 9 kutokana na maudhui mabovu ya wimbo 'Mwanza'
BASATA imewatoza faini ya Tsh. Milioni 3 kila mmoja Mwanamuziki Diamond Platnumz, Mwanamuziki Rayvanny na Lebo nzima ya Wasafi Classic
Aidha, Wasanii hao wamepewa maelekezo wauondoe wimbo huo 'YouTube' vinginevyo wa mamlaka waliyonayo BASATA watafungiwa kufanya shughuli za sanaa
Vile vile BASATA imesisitiza kuwa mtu yeyote, kwa sehemu yoyote au chombo chochote kisiutumie wimbo huo kwa sababu haufai kwa matumizi yoyote yale
WCB , Diamond na Rayvanny wametozwa tsh milioni 9 kutokana na maudhui mabovu ya wimbo 'Mwanza'
BASATA imewatoza faini ya Tsh. Milioni 3 kila mmoja Mwanamuziki Diamond Platnumz, Mwanamuziki Rayvanny na Lebo nzima ya Wasafi Classic
Aidha, Wasanii hao wamepewa maelekezo wauondoe wimbo huo 'YouTube' vinginevyo wa mamlaka waliyonayo BASATA watafungiwa kufanya shughuli za sanaa
Vile vile BASATA imesisitiza kuwa mtu yeyote, kwa sehemu yoyote au chombo chochote kisiutumie wimbo huo kwa sababu haufai kwa matumizi yoyote yale
Wale jamaa kwa misifa wanaweza kulipa zaidi ya million 9.
Ahsante BASATA.
Jaribu kuwa serious basi,akafanyie mziki nje ya nchi ? Angeweza tu kama mashairi yake pamoja na lugha ingekuwa inajulikana ,hivi unapoimba nyege,nyege ,nyegezi unakuwa unaimanisha nini?Kuzuiwa kufanya shughuli za sanaa nchini...wanaweza kwenda kufanyia kenya au hata south africa, hawana ubavu huo hawa viongozi wa BASATA waondolewe
Ila na nyie kwanini mnautafsriri kwa maana yenu ovu?Chamsingi wimbo umefungiwa bass....kuna mijitu mingine eti ina mind wimbo kufungiwa!!! Hawana akili kabisa sa wimbo gani ule hauna maadili ya misemo
Wimbo bado upo You Tube na viewers wanazidi kuongezeka. Unapigwa African Beauty(na yale mauchi uchi) itakuja kuwa Mwanza(Nyegezi).WCB , Diamond na Rayvanny wametozwa tsh milioni 9 kutokana na maudhui mabovu ya wimbo 'Mwanza'
BASATA imewatoza faini ya Tsh. Milioni 3 kila mmoja Mwanamuziki Diamond Platnumz, Mwanamuziki Rayvanny na Lebo nzima ya Wasafi Classic
Aidha, Wasanii hao wamepewa maelekezo wauondoe wimbo huo 'YouTube' vinginevyo wa mamlaka waliyonayo BASATA watafungiwa kufanya shughuli za sanaa
Vile vile BASATA imesisitiza kuwa mtu yeyote, kwa sehemu yoyote au chombo chochote kisiutumie wimbo huo kwa sababu haufai kwa matumizi yoyote yale
Sio hivo ...ebu nambie MTU anaposema michezo ya amberut anamaana gani ....haya pale kulikua na haja ya Kusema nyege bila kumalizia???..Ila na nyie kwanini mnautafsriri kwa maana yenu ovu?
UMEONDOLEWA MKUUWimbo bado upo You Tube na viewers wanazidi kuongezeka. Unapigwa African Beauty(na yale mauchi uchi) itakuja kuwa Mwanza(Nyegezi).