WCB hamko serious na Videos mnazotoa sikuhizi

Mimi WCB kinachonikwaza ni kimoja tu!

producer!!!!!!!
producer akiwa mmbaya nyimbo zitakua mmbaya

waendelee tu leo kwa mensen, kesho kwa Tudd keshokutwa T touch kwa nahreel
producer wao mmbovu!!!
haendani na chama kubwa lile..

ni sawa na kumpa maximo afundishe Real madrid[emoji22]

Diamond huyo producer anachangia kutoka kwa nyimbo mbaya, beat ndo kila kitu Muziki wa darasa bila beat la TTouch nahisi ungekua ni miongoni mwa ngonjera tu.

mjirekebishe ,beat + mashairi + video + muimbaji = mziki mzuri
 
Harmonize lile dude analovaaga kichwani sijui ni hirizi lile?
 
Kuna jamaa yule wa Uprise Music........."FRAGA"..........angewasaidia...........................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…