WCB hawajasikika top 20

Nimekuelewa sana Mkuu. Umenikimbusha enzi zangu nameza! Catalyst is a chemical substance which speeds up the rate of reaction....!
 
Juzi nilimwambia jamaa yng ktk maongezi kuwa, clouds wangemuweza diamond yule wa 'nenda kamwambie', sio huyu wa leo wa 'sikomi'..... watahangaika sana.
 
Ukweli ni kwamba kwa sasa diamond ameshavuka level ya kutegemea media za ndan ili aweze ku mantain status yake.


Hiyo ban inaweza kuwa na madhara kwa wasanii kama Rama D au Nandy
 
Mbosso sio level ya almasi
 
Well sa
Well said Mkuu,ni maslah yameingiliwa ndo chuki zote hizooo.by the way huyo MONDI wamemshindwa ndo mana wanachange kila gear ya kumkabili
 
Wanaweza ku deal na ruby au nandy
Kbs Dreka, mm si mshabiki sana wa hz bongo fleva ila nimuonavyo mond ni km yupo serious sana na hii kazi yake! kupitia maisha magumu pengne kumemfanya kujitambua sana....
 
Ndo mnapodanganyana huko vijiwe vyenu vya mange siyo,mlivyo hamna haya kwa kuokoteza maneno hamfai
 
MEDIA can BUILD or DESTROY You! Period...

Diamond aache kujivuna kuna wanamuziki wengi duniani wameangushwa na MEDIA
Unamcheka mamba kabla hujavuka mto ........ Kuanzisha MEDIA sio jambo dogo so WCB wasijipandishe mabega safari bado sana.
 
MEDIA can BUILD or DESTROY You! Period...

Diamond aache kujivuna kuna wanamuziki wengi duniani wameangushwa na MEDIA
Unamcheka mamba kabla hujavuka mto ........ Kuanzisha MEDIA sio jambo dogo so WCB wasijipandishe mabega safari bado sana.
Kumiliki media sio sababu ya kutaka kunyanyasa wengine wasio na media.

Unaambiwa ukitaka kumuona boss njoo afrika.
 
Hivi huyu Ruge ana nini? Mwanzoni nilifikiri anaonewa, ila sasa ni too much.

Mbona anagombana na kila mtu mpaka mke wake yule mama watoto kabisa? Hua simuelewi halafu akigombana na mtu anataka ashuke. Anatumia ushawishi kwa media zake na CEO wengine kumzika mtu.
Si ajabu hata mtu mwenye watoto wake anataka kumuona akipata shida akisahau watoto wake ndio watateseka.

Japo sijawahi kua karibu nae lakini atakua na wivu wa maendeleo huyu jamaa.

Ifikie hatua sasa watanzania tuseme basi, kama ni kweli ana nia ya kumshusha Diamond na WCB nzima, nitakua tayari hata kuchangia any movement hili lisifanikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…