Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhenga upo?WCB income yao kubwa iko kwenye youtube na internet
hawahitaji clouds ili wafanikiwe
wanahitaji clouds kwa local spotlight ...
but kama wataanzisha media zao ...labda watafanikiwa kwa hilo..
But Ruge ni very smart hagombani na mtu ikiwa huyo mtu yuko top
anagombana only akiona decline imeshaanza...anaharakisha the fall ...
lets wait and see...
Muhaya anakosaje wivu!Hivi huyu Ruge ana nini? Mwanzoni nilifikiri anaonewa, ila sasa ni too much.
Mbona anagombana na kila mtu mpaka mke wake yule mama watoto kabisa? Hua simuelewi halafu akigombana na mtu anataka ashuke. Anatumia ushawishi kwa media zake na CEO wengine kumzika mtu.
Si ajabu hata mtu mwenye watoto wake anataka kumuona akipata shida akisahau watoto wake ndio watateseka.
Japo sijawahi kua karibu nae lakini atakua na wivu wa maendeleo huyu jamaa.
Ifikie hatua sasa watanzania tuseme basi, kama ni kweli ana nia ya kumshusha Diamond na WCB nzima, nitakua tayari hata kuchangia any movement hili lisifanikiwe.
Muhaya na wivu haviendanMuhaya anakosaje wivu!
Ukweli ndo huo Diamond anahangahika na vitu ambavyo havina positive impact na mziki wake.Ndo mnapodanganyana huko vijiwe vyenu vya mange siyo,mlivyo hamna haya kwa kuokoteza maneno hamfai
Kwakuangalia hili nadhani hii media yao inaweza isifanikiwe sana kama MTU yupo busy kumsakama CMG hapa atadrop kimkakati na mkolomije atamtumia kisiasa kitu ambacho atabaguliwa na mashabikiDiamond anapotea kwenye muziki kwa kasi sana, ukiangalia watu aliokuwa anashindana nao mfano Davido anazidi kumuacha mbali kwa mafanikio ya kimuziki.
Diamond yupo busy na beef lake na CMG, Mara huku anapelekwa mahakamani ana kesi na mchepuko wake(Hamisa). Kwa kifupi Diamond sasa hivi hana muda wa ku focus kwenye mziki wake.