WCB hawajasikika top 20

Hyo tatzo la clouds wanachuki za waz waz ila lazma wawepo watu wtakao rebel tu....hakuna utumwa wa kudumu
 
Muhenga upo?
 
Muhaya anakosaje wivu!
 
Kwakuangalia hili nadhani hii media yao inaweza isifanikiwe sana kama MTU yupo busy kumsakama CMG hapa atadrop kimkakati na mkolomije atamtumia kisiasa kitu ambacho atabaguliwa na mashabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…