WCB kukosea kupo kwanini mnajiona wa pakee

WCB kukosea kupo kwanini mnajiona wa pakee

Kanisa tena sio kanisa tu bali kanisa namba moja linalojielewa. Limewapa ruksa kufanyia video kanisani na hawajavunja au kufanya jambo lolote baya.

Akitokea yoyote akasema kuna kosa limefanyika elewa hiyo ni chuki na roho mbaya ambazo hazijawasaidia kuishusha Wasafi.
Dini si swala la mzaha. Hawa waimbaji wote sio wa kushiriki kanisani , je wanaheshimu dini za zingine, kwanini washuti video ya kumrubuni muumuni wa Kikristo kanisani au ni kwamba huyu mtengenezaji wa video ana imani kwamba wanakwaya wanarubunika kirahisi? Kama kweli hakuwa na agenda mbaya ajaribu kushuti video kama hii ya kumrubuni mtu toka msikitini - aone cha moto. Shika dini yako na heshimu dini za wenzako- hapo amani itatawala.
 
Mondi ashalewa kiburi Basi anaona yeye anajua kila kitu na hawezi kukosea.

Kajamaa kanalalamika balaa et ndio maana nilikataa kushiriki tuzo za Tanzania ,Sasa haya yanaingiaje hapa?

Yaan yeye anajiona hakosei Wala hatakiw kukosolewa.
Yupo MO a.k.a kanji Bay Ana pesa ambazo diamond hajawah kamata na huwenda hatakuja kamata lakin wadau wanamchana Waz Waz Sasa mondi ni nan haswa?

Yeye ni muislamu why uhangaike kutaka kuifanya dini nyingine Kama sehem ya kazi zako ?
Je misikiti imeisha hapa tz?

Jibu ni rahis anajua Waz dini yao isingekubali huo ujinga Zaid akaona wakristo ni watu wasiozingatia Sana dini yao Basi akaja na ushuz Kama huo.

Cheza kote ila sio dini bwana Domo.
 
Dini si swala la mzaha. Hawa waimbaji wote sio wa kushiriki kanisani , je wanaheshimu dini za zingine, kwanini washuti video ya kumrubuni muumuni wa Kikristo kanisani au ni kwamba huyu mtengenezaji wa video ana imani kwamba wanakwaya wanarubunika kirahisi? Kama kweli hakuwa na agenda mbaya ajaribu kushuti video kama hii ya kumrubuni mtu toka msikitini - aone cha moto. Shika dini yako na heshimu dini za wenzako- hapo amani itatawala.
huna unalojua wewe ata hao viongozi wanakula waumini huko maofisini eti ndo ww udai eti kumrubuni muumin kanisani unaonesha una uchungu sana na dini badala ya imani alafu sio wote wanaokwenda makanisani wana imani wengi watupu tu kama ww
 
Dini si swala la mzaha. Hawa waimbaji wote sio wa kushiriki kanisani , je wanaheshimu dini za zingine, kwanini washuti video ya kumrubuni muumuni wa Kikristo kanisani au ni kwamba huyu mtengenezaji wa video ana imani kwamba wanakwaya wanarubunika kirahisi? Kama kweli hakuwa na agenda mbaya ajaribu kushuti video kama hii ya kumrubuni mtu toka msikitini - aone cha moto. Shika dini yako na heshimu dini za wenzako- hapo amani itatawala.
Msikitini hakuna kuimba imba kama kanisani.... Qaswida haziruhusiwi ndani ya msikiti.
 
Wamekurupuka zipo nyimbo nyingi tu zina scene za kanisani. Mbona bongo movie nao kila siku wanaigizia kanisani mara wanapreach mara wanafunga ndoa
Nafikiri content ndo issue!
Kwa mfano; mtu anaonyesha ,alichoka,alikata tamaa,alikuwa na tabia mbaya za kidunia ,akaamua kumurudia Mungu, kwenda kanisani na kubadirika kuanza upya!
Ss scene km hiyo kanisani itakua na tatizo gani?
Sawa ma scene wanayoilalamikia wadau hapa?

Pili ,hawa wanaolalamikiwa wote waislam kwann wadifanyie msikini?
 
Mkuu mm mkristo wenzetu waislamu wanaheshimu Sana nyumba zao za ibada ipo siku porn zitafanyika kanisani
Kabisa
Halafu wanakuja kutuletea ujuaji hapa
Tunawauliza kwann wasiigize wapo msikitini
 
Watu mnalalamika eti aende msikitini akafanye hivyo[emoji2957][emoji2957], WAISLAMU wanaruhusiwa kuimba??? Katika uislamu hakuna mziki wa aina yoyote hivyo haiwezekani kwenda kuimba labda misikiti ya WAISLAMU wasiojitambua, tena wangewashiwa moto.

Nyinyi mnaimba na kucheza na yeye amefanya hivyo hivyo hamna kosa hapo. Kama mmechukia mezeni wembe [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kaswida ni nn?
 
Nafikiri content ndo issue!
Kwa mfano; mtu anaonyesha ,alichoka,alikata tamaa,alikuwa na tabia mbaya za kidunia ,akaamua kumurudia Mungu, kwenda kanisani na kubadirika kuanza upya!
Ss scene km hiyo kanisani itakua na tatizo gani?
Sawa ma scene wanayoilalamikia wadau hapa?

Pili ,hawa wanaolalamikiwa wote waislam kwann wadifanyie msikini?
Mbona scene nyingi za bongo movie wanazicheza akina hemedy ph wakifunga ndoa madhabahuni. Zoba ile ya banana inatofuati gani na ya diamond na zuchu.
Wakristo wanasemaga hawampiganii Mungu bali uwa anapigana mwenyewe.
 
Msikitini hakuruhusiwi kuimba kama kanisani..Msikitini ni kuswali tu ,basi.
Kwahiyo kwa sbb kanisani tunaimba ndo kwa kuigizia ujinga?
Hivi kanisani tunaimba nyimbo km hizo anazoimba yeye?
Kanisani ndo tunaimba kumuabudu Mungu,kumsifu Mungu,kshukuru Mungu!
Haya nibie alichoimba yeye kinaingia kwenye kundi lolote hapo?
Kwann km anaheshimu kwao asiheshimu na imani nyingine?
 
Mbona scene nyingi za bongo movie wanazicheza akina hemedy ph wakifunga ndoa madhabahuni. Zoba ile ya banana inatofuati gani na ya diamond na zuchu.
Wakristo wanasemaga hawampiganii Mungu bali uwa anapigana mwenyewe.
Hizo nyingine sizijui
Na hata km nao ujumbe wao hauna mantiki haiondoi ukweli kuwa wanakosea!

Then ndoa sio sscene baya sioni tatizo!

Soma vzr point yangu!
 
Hizo nyingine sizijui
Na hata km nao ujumbe wao hauna mantiki haiondoi ukweli kuwa wanakosea!

Then ndoa sio sscene baya sioni tatizo!

Soma vzr point yangu!
Kwani mkuu ile scene, si zuchu anaiamba kwaya halafu diamond anamchukua wanaenda na baiskeli, au kuna jambo lingine mkuu
 
Watu mnalalamika eti aende msikitini akafanye hivyo🤪🤪, WAISLAMU wanaruhusiwa kuimba??? Katika uislamu hakuna mziki wa aina yoyote hivyo haiwezekani kwenda kuimba labda misikiti ya WAISLAMU wasiojitambua, tena wangewashiwa moto.

Nyinyi mnaimba na kucheza na yeye amefanya hivyo hivyo hamna kosa hapo. Kama mmechukia mezeni wembe 🤪🤪🤪
Ndio tumefungia sasa, msibweke bweke..
 
Back
Top Bottom