Claude Henry
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 323
- 350
Siyo wewe wa kuhukumu yupi mtupu. Wewe unatakiwa kuheshimu dini za watu wengine. Wasanii wa kwenye hiyo video ya muziki kama sijakosea - wote ni waumini ya dini ya Kiislamu, sasa Kanisani wanatafuta nini? Amani inadumishwa kwa kuheshimiana siyo kwa kutupiana vijembe .huna unalojua wewe ata hao viongozi wanakula waumini huko maofisini eti ndo ww udai eti kumrubuni muumin kanisani unaonesha una uchungu sana na dini badala ya imani alafu sio wote wanaokwenda makanisani wana imani wengi watupu tu kama ww