Tubonge huoni maudhui yake ya dini? Unaweza kufananishwa na mtasubiri?Nawaza ile TUBONGE ya CHAMELEON
Dini si swala la mzaha. Hawa waimbaji wote sio wa kushiriki kanisani , je wanaheshimu dini za zingine, kwanini washuti video ya kumrubuni muumuni wa Kikristo kanisani au ni kwamba huyu mtengenezaji wa video ana imani kwamba wanakwaya wanarubunika kirahisi? Kama kweli hakuwa na agenda mbaya ajaribu kushuti video kama hii ya kumrubuni mtu toka msikitini - aone cha moto. Shika dini yako na heshimu dini za wenzako- hapo amani itatawala.Kanisa tena sio kanisa tu bali kanisa namba moja linalojielewa. Limewapa ruksa kufanyia video kanisani na hawajavunja au kufanya jambo lolote baya.
Akitokea yoyote akasema kuna kosa limefanyika elewa hiyo ni chuki na roho mbaya ambazo hazijawasaidia kuishusha Wasafi.
Sioni shida sema waafrika dini sijui tunazichukuliajeWalikosa misikiti ya kufanyia huo ujinga wao
USSR
OkKenge mmoja, si wangeshutia msikitini wanakoabudia…. pumbafu sana.
huna unalojua wewe ata hao viongozi wanakula waumini huko maofisini eti ndo ww udai eti kumrubuni muumin kanisani unaonesha una uchungu sana na dini badala ya imani alafu sio wote wanaokwenda makanisani wana imani wengi watupu tu kama wwDini si swala la mzaha. Hawa waimbaji wote sio wa kushiriki kanisani , je wanaheshimu dini za zingine, kwanini washuti video ya kumrubuni muumuni wa Kikristo kanisani au ni kwamba huyu mtengenezaji wa video ana imani kwamba wanakwaya wanarubunika kirahisi? Kama kweli hakuwa na agenda mbaya ajaribu kushuti video kama hii ya kumrubuni mtu toka msikitini - aone cha moto. Shika dini yako na heshimu dini za wenzako- hapo amani itatawala.
Suala hili simpleNashangaa kweli na ule wizi unaendelea pale tanganyika pekers kawe nayo ni dini?
Msikitini hakuna kuimba imba kama kanisani.... Qaswida haziruhusiwi ndani ya msikiti.Dini si swala la mzaha. Hawa waimbaji wote sio wa kushiriki kanisani , je wanaheshimu dini za zingine, kwanini washuti video ya kumrubuni muumuni wa Kikristo kanisani au ni kwamba huyu mtengenezaji wa video ana imani kwamba wanakwaya wanarubunika kirahisi? Kama kweli hakuwa na agenda mbaya ajaribu kushuti video kama hii ya kumrubuni mtu toka msikitini - aone cha moto. Shika dini yako na heshimu dini za wenzako- hapo amani itatawala.
Nafikiri content ndo issue!Wamekurupuka zipo nyimbo nyingi tu zina scene za kanisani. Mbona bongo movie nao kila siku wanaigizia kanisani mara wanapreach mara wanafunga ndoa
KabisaMkuu mm mkristo wenzetu waislamu wanaheshimu Sana nyumba zao za ibada ipo siku porn zitafanyika kanisani
Sawa ,kwann hawakuigizia msikitini ikiwa wote ni waislamu?Dini tumeletewa hizi....tunavyozishupalia sasaaa
Kaswida ni nn?Watu mnalalamika eti aende msikitini akafanye hivyo[emoji2957][emoji2957], WAISLAMU wanaruhusiwa kuimba??? Katika uislamu hakuna mziki wa aina yoyote hivyo haiwezekani kwenda kuimba labda misikiti ya WAISLAMU wasiojitambua, tena wangewashiwa moto.
Nyinyi mnaimba na kucheza na yeye amefanya hivyo hivyo hamna kosa hapo. Kama mmechukia mezeni wembe [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Msikitini hakuruhusiwi kuimba kama kanisani..Msikitini ni kuswali tu ,basi.Kabisa
Halafu wanakuja kutuletea ujuaji hapa
Tunawauliza kwann wasiigize wapo msikitini
Mbona scene nyingi za bongo movie wanazicheza akina hemedy ph wakifunga ndoa madhabahuni. Zoba ile ya banana inatofuati gani na ya diamond na zuchu.Nafikiri content ndo issue!
Kwa mfano; mtu anaonyesha ,alichoka,alikata tamaa,alikuwa na tabia mbaya za kidunia ,akaamua kumurudia Mungu, kwenda kanisani na kubadirika kuanza upya!
Ss scene km hiyo kanisani itakua na tatizo gani?
Sawa ma scene wanayoilalamikia wadau hapa?
Pili ,hawa wanaolalamikiwa wote waislam kwann wadifanyie msikini?
Kwahiyo kwa sbb kanisani tunaimba ndo kwa kuigizia ujinga?Msikitini hakuruhusiwi kuimba kama kanisani..Msikitini ni kuswali tu ,basi.
Hizo nyingine sizijuiMbona scene nyingi za bongo movie wanazicheza akina hemedy ph wakifunga ndoa madhabahuni. Zoba ile ya banana inatofuati gani na ya diamond na zuchu.
Wakristo wanasemaga hawampiganii Mungu bali uwa anapigana mwenyewe.
Kwani mkuu ile scene, si zuchu anaiamba kwaya halafu diamond anamchukua wanaenda na baiskeli, au kuna jambo lingine mkuuHizo nyingine sizijui
Na hata km nao ujumbe wao hauna mantiki haiondoi ukweli kuwa wanakosea!
Then ndoa sio sscene baya sioni tatizo!
Soma vzr point yangu!
Ndio tumefungia sasa, msibweke bweke..Watu mnalalamika eti aende msikitini akafanye hivyo🤪🤪, WAISLAMU wanaruhusiwa kuimba??? Katika uislamu hakuna mziki wa aina yoyote hivyo haiwezekani kwenda kuimba labda misikiti ya WAISLAMU wasiojitambua, tena wangewashiwa moto.
Nyinyi mnaimba na kucheza na yeye amefanya hivyo hivyo hamna kosa hapo. Kama mmechukia mezeni wembe 🤪🤪🤪