WCB kukosea kupo kwanini mnajiona wa pakee

huna unalojua wewe ata hao viongozi wanakula waumini huko maofisini eti ndo ww udai eti kumrubuni muumin kanisani unaonesha una uchungu sana na dini badala ya imani alafu sio wote wanaokwenda makanisani wana imani wengi watupu tu kama ww
Siyo wewe wa kuhukumu yupi mtupu. Wewe unatakiwa kuheshimu dini za watu wengine. Wasanii wa kwenye hiyo video ya muziki kama sijakosea - wote ni waumini ya dini ya Kiislamu, sasa Kanisani wanatafuta nini? Amani inadumishwa kwa kuheshimiana siyo kwa kutupiana vijembe .
 
Sioni shida sema waafrika dini sijui tunazichukuliaje
Siyo waafrika tu? Hujasikia mambo haya Pakistan, India . Dini ya mwenzako si ya kuchezea- acha kabisa. Wewe kama hujali mambo ya dini ni vizuri - lakini kuna waumini wengi sana wanajali na wengine wanakesha makanisani na misikitini. Hunabudi kuheshimu matakwa yao.
 
Wenye dini zao sasa makanisa wameamua kufungua baa, lakini huku kwetu watu wanataka kutoana macho kwa upuuzi. Acha umaskini utuandame ti
 
Wenye dini zao sasa makanisa wameamua kufungua baa, lakini huku kwetu watu wanataka kutoana macho kwa upuuzi. Acha umaskini utuandame ti
Ibilisi anatawala , mmomonyoko wa Maadili na ndoa za jinsia moja. Tumshukuru Mungu kwamba huko kwetu bado watu wengi wana hofu ya Mungu, labda janga hili litachelewa kutufikia.
 
Ibilisi anatawala , mmomonyoko wa Maadili na ndoa za jinsia moja. Tumshukuru Mungu kwamba huko kwetu bado watu wengi wana hofu ya Mungu, labda janga hili litachelewa kutufikia.


Hakuna cha ibilisi ila wako kila mtu anasimamia anachoamini waziwazi. Kwetu unafiki, uongo na uzandiki ndio umejaa. Watu wanajifanya wenye maadili na wacha Mungu ndio lakini mioyo yao imejaa chuki na wivu
 
Alikiba ndio mtu anatakiwa ajifunze kwa Wasafi tangu lini mtu kwenye mafanikio akajifunze kwa mtu asiye na mafanikio we umeona wapi?
 
Yeye ni islamu ameshindwa nini mpaka aende upande usio muhusu?, Nisawa kufungia hiyo nyimbo na awache kucheza na imani za watu iko siku atasababisha sinto fahamu.
Ana ndugu zake Wakristo, hakuna tatizo kuwaunga mkono
 
mwenye imani anaeleza imani yake sawa na mimi niende msikitini ni act kuswalishwa si asubuhi mnanichinja
Alichofanya Diamond ni sanaa sio maonesho ya dini na kazi ya sanaa sikuzote haina mipaka as long as huvunji Sheria za nchi mbona bongomovies wakitumia misikiti na makanisa kufanya sanaa yao mbona amtoki mapovu na hawakosolewi na kazi zao hazifungiwi
 
Imani ndio kinachoangaliwa na Mungu sio kanisa, kanisa ni jengo tu ndio maana makanisa ya sasa hivi wanatumia kibiashara wewe angalia gwajima anahubiri akitoka hapo anakula kondoo wa bwana, wapo ambao watumishi wa Mungu wanatumia nguvu za kishirikina kutoa mapepo hapo hapo kanisani wengine kupiga sadaka.Ukisoma biblia Mungu apiganiwi anajitete yeye mwenyewe hakuna sababu ya wewe kutoka povu kisa Diamond labda kama una chuki nae au wivu
 

sasa hiyo imani unapata wapi kama hakuna sehemu kufanyia ibada.basi sawa useme hakuna kanisa au msikiti
 
sasa hiyo imani unapata wapi kama hakuna sehemu kufanyia ibada.basi sawa useme hakuna kanisa au msikiti
Ukifuata maandiko ya Mungu na ukaishi kwenye hayo maandiko ndipo imani inakuja ila kama ufuati maandiko ya Mungu hata uwe muudhuriaji wa kanisani siku zote wewe jihesabie huna tofauti na asiyemjua Mungu.
 
Usipomtaja alikiba uzi wako hautasomwa?
Kanisa mbona video za mbele tunaona scene hzo na hakuna shida yoyote na ndipo dini hizi zilipotokea?
Alitakiwa aanzie msikitini kwanza! Angelifuatisha kanisani kidogo tungekuwa na sumu ya kawaida!
 
Tuanzie hapa kwanza!!
 
Kwani msikitini wameona hapafai mpaka wakimbilie kanisani, wawe na heshima kwa imani za watu wengine
 
kosa la diamond sio la msingi ni sawana na kusema halipo,ila jinsi anavyolalamika inaleta ukakasi kwamba haheshimu hisia na imani nyingine,angekausha tu.

mimi ni mkristo rc sikubalianagi naye sehemu nyingi ila katika hili kapigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…