Wanategemea mkuu wa mkoa ndo Kinga yao ila ipo siku itawatokea puaniBASATA ni chombo rasmi cha serikali ambacho kinafanya kazi kwa niaba ya serikali.
Leo wametangaza kuufungia wimbo wa Mwanza na kuwataka WCB wauondoe kwenye digital media zao zote.
Cha ajabu ni kwamba, badala ya kufanya hivyo wao ndio wanazidi kuutangaza tena kwa nguvu zote kuliko hata ilivyokuwa mwanzo, kana kwamba wanaonyeshana umwamba..
Hili sio sawa, hata kama hamkubaliani nao, taratibu zipo za kulalamika na kukata rufaa. Kwa nyie kujiona kwamba mko juu ya sheria hili haliwezi kuwaacha salama! ... mark my words.
Acheni wivu walala njaa nyie rayvany ndie mwenye nyimbo na kafuta kwenye insta yakeBASATA ni chombo rasmi cha serikali ambacho kinafanya kazi kwa niaba ya serikali.
Leo wametangaza kuufungia wimbo wa Mwanza na kuwataka WCB wauondoe kwenye digital media zao zote.
Cha ajabu ni kwamba, badala ya kufanya hivyo wao ndio wanazidi kuutangaza tena kwa nguvu zote kuliko hata ilivyokuwa mwanzo, kana kwamba wanaonyeshana umwamba..
Hili sio sawa, hata kama hamkubaliani nao, taratibu zipo za kulalamika na kukata rufaa. Kwa nyie kujiona kwamba mko juu ya sheria hili haliwezi kuwaacha salama! ... mark my words.
Wivu unaingiaje mkuu, kwani mimi ndo nilioukataza?Acheni wivu walala njaa nyie rayvany ndie mwenye nyimbo na kafuta kwenye insta yake
Unajifanya una maadili alafu kwenye sim yako hapo una pino, watz tatizo lenu wivu tu jobless mkubwa wwWivu unaingiaje mkuu, kwani mimi ndo nilioukataza?
VP mzee Wa uchawiMhhhhh
Huo wimbo haufutwi na basata ndo wanaenda kufutwa wao mda si mrefuWatu wa dar achen ushamba hakuna kifupi cha nyegezi.WCB nyota kwisha baada ya kudhalilisha wanawake weee now wamehamia kuparamia majina na kugeuza kwa maana zao.
Kiki imebuma wafute tu huo wimbo