WCB kwa hili la kuidharau BASATA, hamtabaki salama

WCB kwa hili la kuidharau BASATA, hamtabaki salama

SirBonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2010
Posts
378
Reaction score
435
BASATA ni chombo rasmi cha serikali ambacho kinafanya kazi kwa niaba ya serikali.
Leo wametangaza kuufungia wimbo wa Mwanza na kuwataka WCB wauondoe kwenye digital media zao zote.
Cha ajabu ni kwamba, badala ya kufanya hivyo wao ndio wanazidi kuutangaza tena kwa nguvu zote kuliko hata ilivyokuwa mwanzo, kana kwamba wanaonyeshana umwamba..
Hili sio sawa, hata kama hamkubaliani nao, taratibu zipo za kulalamika na kukata rufaa. Kwa nyie kujiona kwamba mko juu ya sheria hili haliwezi kuwaacha salama! ... mark my words.
 
Kufungia wimbo ni moja lakini adhabu kali itolewe kwa kuwafungia kujiusisha na muziki kwa muda basata watakoona unafaa. Wawa vijana umaarufu umewaletea kiburi na dharau kwa wasimamizi wa fani hiyo. Vijana hawa wamekosa maadili lazima wachukuliwe hatua kali
 
Aman iwe kwenu wakuu
Baada ya katibu mkuu kuagiza wimbo Wa WCB Wa mwanza nyege nyege nyegez ufutwe kabla ya SAA kumi jion. Wimbo huo had mda huu bado unadunda na kutesa kwa zam

WCB wamegoma kabisa kuufuta lakin wakati huo huo basata wamedai endapo WCB watagoma kuufuta bas tamasha la wasafi festival litafutwa kabisa katika raman ya dunia

Ngoja tuone kipi kitatokea, lakin Mimi naona basata ni wapuuz tu wasio na lolote wamekaa tu pale ofisin kwenye viti vya kuzunguka wakisubil kutafasir mashail ya wasanii

Nyegez ni kanda ya ziwa wilaya ya nyamagan mkoa Wa mwanza ndo mahal ilipo stand kuu ya mabas ya kanda ya ziwa na jiji la kingosha la mwanza. Kifupi cha nyegez ni nyege

Vile vile Sengelema ni wilaya iliyopo kanda ya ziwa mkoa Wa mwanza. Kifupi cha Sengelema ni senge

Basata ni jipu lililoiva kabisa inabid litumbuliwe

Aman kwenu

BOY FROM LONDON BEIRA BOY
A BRACK UNITED KING DOM
QUEEN ELIZABETY BEIBEEE

NANYUPU BOY
 
BASATA ni chombo rasmi cha serikali ambacho kinafanya kazi kwa niaba ya serikali.
Leo wametangaza kuufungia wimbo wa Mwanza na kuwataka WCB wauondoe kwenye digital media zao zote.
Cha ajabu ni kwamba, badala ya kufanya hivyo wao ndio wanazidi kuutangaza tena kwa nguvu zote kuliko hata ilivyokuwa mwanzo, kana kwamba wanaonyeshana umwamba..
Hili sio sawa, hata kama hamkubaliani nao, taratibu zipo za kulalamika na kukata rufaa. Kwa nyie kujiona kwamba mko juu ya sheria hili haliwezi kuwaacha salama! ... mark my words.
Wanategemea mkuu wa mkoa ndo Kinga yao ila ipo siku itawatokea puani
 
Ile nyimbo pakutoa ni sehemu moja tu pale kwa amber ruty iyherwise me sijaona shida
 
BASATA ni chombo rasmi cha serikali ambacho kinafanya kazi kwa niaba ya serikali.
Leo wametangaza kuufungia wimbo wa Mwanza na kuwataka WCB wauondoe kwenye digital media zao zote.
Cha ajabu ni kwamba, badala ya kufanya hivyo wao ndio wanazidi kuutangaza tena kwa nguvu zote kuliko hata ilivyokuwa mwanzo, kana kwamba wanaonyeshana umwamba..
Hili sio sawa, hata kama hamkubaliani nao, taratibu zipo za kulalamika na kukata rufaa. Kwa nyie kujiona kwamba mko juu ya sheria hili haliwezi kuwaacha salama! ... mark my words.
Acheni wivu walala njaa nyie rayvany ndie mwenye nyimbo na kafuta kwenye insta yake
 
Nipo hapa na sikiliza zilipendwa, kutoka kwa mama Mwanahela ana uliza "mkunaji na mkunwa huona raha ni nani?" Sasa umsikilize masoud masoud anavyoielezea

Sometimes mnaweza walaumu vijana kumbe wamecopy na kupaste toka kwa wazee.
 
Watu wa dar achen ushamba hakuna kifupi cha nyegezi.WCB nyota kwisha baada ya kudhalilisha wanawake weee now wamehamia kuparamia majina na kugeuza kwa maana zao.

Kiki imebuma wafute tu huo wimbo
Huo wimbo haufutwi na basata ndo wanaenda kufutwa wao mda si mrefu
 
Back
Top Bottom