WCB kwa hili la kuidharau BASATA, hamtabaki salama

Hawawezi kushindana na vyombo vya serikali,hawa ni wazee wa kiki kwahiyo wanatumia siku ya leo kufanya makiki yao na promotion zao kisha wakishaenda kwa pilato wanakuwa wadogo kama piriton,basata wawape wiki moja wafute USENGE wao na NYEGE zao kwenye platforms zote wasipofanya hivyo wafungiwe kujihusisha na muziki.
 
Watananzania wenzangu samahani kidogo kwa kuuliza...BRACK ndio nn?
 
mechanism ya Basata ni ovyo sana wanasubiri wimbo utoke alafu watangaze kuufungia tena kwa kuwataka waliouweka ndio wautoe kama lengo ni kusimamia sanaa kwanini hizo nyimbo zisihakikiwe kabla hazijatolewa na msanii akikiuka ni kumpa maelelekezo TCRA anautoa fasta kabla haujawa na damage kubwa kisha wanadeal nae accordingly sasa hivi hata wakiufungia ni porojo tu mtaani kila nyumba upo offline zamani sana .... my take BASATA ni jipu wasanii waombe litumbuliwe for rhe time being ni kama wanaupa tu kick huo wimbo maana na mie imebidi niutafute....
 
Tatizo si kifupi cha neno,bali namna na Wakati hilo neno lilivyotumika. Hawa WCB naona wameanza kupotoka kwa kulewa sifa
 
Ila inaitwa Sengerema ingawa sijawahi fika huo mji wa washamba lakini spelling zake ni Sengerema...nasikia wenyeji wao wanaitwa Wasengerema
 
Ngoja niupakue kabla hawajauondoa. Ila wcb wachokozi sana
 
Kutoka Argentina hapa sisi tunanyegeka tu...

Ni huku Argentina Manzese.
 
Hivi nani ndiye mlezi wa WCB?

Dad is coming.
 
Basata inaua sanaa yani wao wanatfsiri matusi wakati muimbaji kamaanisha tofauti
 
Je Basata waliwapa official letter juu ya hayo kabla hawajakimbilia kuongea na mapaparazi?. kama hawakuwapatia na wanasubiri wasikilizie mitandaoni basi nao ni majipu tu

Shame hawajiongezi katika kazi zao kwa mengi hadi leo.
 
Je Basata waliwapa official letter juu ya hayo kabla hawajakimbilia kuongea na mapaparazi?. kama hawakuwapatia na wanasubiri wasikilizie mitandaoni basi nao ni majipu tu

Shame hawajiongezi katika kazi zao kwa mengi hadi leo.
Mlezi wa WCB unamjua?

Dad is coming.
 
Asa shekere.mwendo wa kandanda ndani ya nangwanda,,,sa nisogezee leta msambwanda nikazie nganganga,,ananivuta geto nikampige bunduki!! Hee bunduki,,ila naogopa central michezo ya umber rutty,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…