Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawawezi kushindana na vyombo vya serikali,hawa ni wazee wa kiki kwahiyo wanatumia siku ya leo kufanya makiki yao na promotion zao kisha wakishaenda kwa pilato wanakuwa wadogo kama piriton,basata wawape wiki moja wafute USENGE wao na NYEGE zao kwenye platforms zote wasipofanya hivyo wafungiwe kujihusisha na muziki.BASATA ni chombo rasmi cha serikali ambacho kinafanya kazi kwa niaba ya serikali.
Leo wametangaza kuufungia wimbo wa Mwanza na kuwataka WCB wauondoe kwenye digital media zao zote.
Cha ajabu ni kwamba, badala ya kufanya hivyo wao ndio wanazidi kuutangaza tena kwa nguvu zote kuliko hata ilivyokuwa mwanzo, kana kwamba wanaonyeshana umwamba..
Hili sio sawa, hata kama hamkubaliani nao, taratibu zipo za kulalamika na kukata rufaa. Kwa nyie kujiona kwamba mko juu ya sheria hili haliwezi kuwaacha salama! ... mark my words.
Elewesha kwa manufaa ya wengi mkuuJuu ya festival hukuelewa.. usipotoshe
Huo wimbo haufutwi na basata ndo wanaenda kufutwa wao mda si mrefu
Ahahahaaa umeanza mzee babaWatananzania wenzangu samahani kidogo kwa kuuliza...BRACK ndio nn?
Mlezi wa WCB unamjua?Je Basata waliwapa official letter juu ya hayo kabla hawajakimbilia kuongea na mapaparazi?. kama hawakuwapatia na wanasubiri wasikilizie mitandaoni basi nao ni majipu tu
Shame hawajiongezi katika kazi zao kwa mengi hadi leo.