Vumbi la congo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 666
- 981
nimecheka sanaMlezi wa WCB unamjua?
Dad is coming.
MANENO kuntu walahiWatu wa dar achen ushamba hakuna kifupi cha nyegezi.WCB nyota kwisha baada ya kudhalilisha wanawake weee now wamehamia kuparamia majina na kugeuza kwa maana zao.
Kiki imebuma wafute tu huo wimbo
Hahah ndio ukweli huo mkuu.nimecheka sana
MAKONDA OYEEEEJe Basata waliwapa official letter juu ya hayo kabla hawajakimbilia kuongea na mapaparazi?. kama hawakuwapatia na wanasubiri wasikilizie mitandaoni basi nao ni majipu tu
Shame hawajiongezi katika kazi zao kwa mengi hadi leo.
Yaani wabongo kama tumerogwawabongo hamna "JEMA"
Hamueleweki kipi "MNATAKA na Kwa Wakati upi"
notedKufungia wimbo ni moja lakini adhabu kali itolewe kwa kuwafungia kujiusisha na muziki kwa muda basata watakoona unafaa. Wawa vijana umaarufu umewaletea kiburi na dharau kwa wasimamizi wa fani hiyo. Vijana hawa wamekosa maadili lazima wachukuliwe hatua kali
Na haya ndo maoni ya wadau huko YouTubeAman iwe kwenu wakuu
Baada ya katibu mkuu kuagiza wimbo Wa WCB Wa mwanza nyege nyege nyegez ufutwe kabla ya SAA kumi jion. Wimbo huo had mda huu bado unadunda na kutesa kwa zam
WCB wamegoma kabisa kuufuta lakin wakati huo huo basata wamedai endapo WCB watagoma kuufuta bas tamasha la wasafi festival litafutwa kabisa katika raman ya dunia
Ngoja tuone kipi kitatokea, lakin Mimi naona basata ni wapuuz tu wasio na lolote wamekaa tu pale ofisin kwenye viti vya kuzunguka wakisubil kutafasir mashail ya wasanii
Nyegez ni kanda ya ziwa wilaya ya nyamagan mkoa Wa mwanza ndo mahal ilipo stand kuu ya mabas ya kanda ya ziwa na jiji la kingosha la mwanza. Kifupi cha nyegez ni nyege
Vile vile Sengelema ni wilaya iliyopo kanda ya ziwa mkoa Wa mwanza. Kifupi cha Sengelema ni senge
Basata ni jipu lililoiva kabisa inabid litumbuliwe
Aman kwenu
BOY FROM LONDON BEIRA BOY
A BRACK UNITED KING DOM
QUEEN ELIZABETY BEIBEEE
NANYUPU BOY
Hii nyege nyege nyegez twende kwetu nyegezAsa shekere.mwendo wa kandanda ndani ya nangwanda,,,sa nisogezee leta msambwanda nikazie nganganga,,ananivuta geto nikampige bunduki!! Hee bunduki,,ila naogopa central michezo ya umber rutty,,
Wasalimiane hapo Kumalija,Passion hotel,Kilimanjaro hotel tehHii nyege nyege nyegez twende kwetu nyegez