WCB kwa hili la kuidharau BASATA, hamtabaki salama

WCB kwa hili la kuidharau BASATA, hamtabaki salama

Watu wa dar achen ushamba hakuna kifupi cha nyegezi.WCB nyota kwisha baada ya kudhalilisha wanawake weee now wamehamia kuparamia majina na kugeuza kwa maana zao.

Kiki imebuma wafute tu huo wimbo
MANENO kuntu walahi
 
Je Basata waliwapa official letter juu ya hayo kabla hawajakimbilia kuongea na mapaparazi?. kama hawakuwapatia na wanasubiri wasikilizie mitandaoni basi nao ni majipu tu

Shame hawajiongezi katika kazi zao kwa mengi hadi leo.
MAKONDA OYEEEE
 
Kufungia wimbo ni moja lakini adhabu kali itolewe kwa kuwafungia kujiusisha na muziki kwa muda basata watakoona unafaa. Wawa vijana umaarufu umewaletea kiburi na dharau kwa wasimamizi wa fani hiyo. Vijana hawa wamekosa maadili lazima wachukuliwe hatua kali
noted
 
Aman iwe kwenu wakuu
Baada ya katibu mkuu kuagiza wimbo Wa WCB Wa mwanza nyege nyege nyegez ufutwe kabla ya SAA kumi jion. Wimbo huo had mda huu bado unadunda na kutesa kwa zam

WCB wamegoma kabisa kuufuta lakin wakati huo huo basata wamedai endapo WCB watagoma kuufuta bas tamasha la wasafi festival litafutwa kabisa katika raman ya dunia

Ngoja tuone kipi kitatokea, lakin Mimi naona basata ni wapuuz tu wasio na lolote wamekaa tu pale ofisin kwenye viti vya kuzunguka wakisubil kutafasir mashail ya wasanii

Nyegez ni kanda ya ziwa wilaya ya nyamagan mkoa Wa mwanza ndo mahal ilipo stand kuu ya mabas ya kanda ya ziwa na jiji la kingosha la mwanza. Kifupi cha nyegez ni nyege

Vile vile Sengelema ni wilaya iliyopo kanda ya ziwa mkoa Wa mwanza. Kifupi cha Sengelema ni senge

Basata ni jipu lililoiva kabisa inabid litumbuliwe

Aman kwenu

BOY FROM LONDON BEIRA BOY
A BRACK UNITED KING DOM
QUEEN ELIZABETY BEIBEEE

NANYUPU BOY
Na haya ndo maoni ya wadau huko YouTube

Imenibidi nicheke tu kwakweli hahaha
wanaume wa mkoani mna
IMG_20181112_200145_725.JPG
nini lakini.
 
hahah jamaa wa WCB wanatoaga miziki ya XXX(P0RN), kwa nini BASATA wasiifungie maisha hii REBO...😎😎😎
 
Sasa youtube wao basata ina wahusu nini?
 
huwezi kuufungia wimbo... wafanye censorship Tu maneno yasiyotakiwa yafutwe.... kuwe na clean and dirty version baas
 
Ndugu mwanaJamiiforum hebu toa maoni yako juu ya kufungiwa kwa wimbo wa 'mwanza' kwa upande wangu basata naona wapo sahihi.kabisa ila naona wanakosea
Kutaka ufutwe hadi YouTube
Kwanii MTU mpaka autafute YouTube ni mapenzi yake mwenyewe
Pili nawaomba WCB wabadilike kidogo kwani karibia nyimbo zao zote za hivi karibuni ni za matusi sana
Alafu basata wanafanya makosa kuzuia wimbo usipigwe kwenye tamasha la kitaifa (wasafifestival)
Kwani inajenga taswira mbaya kwa
Mashabiki inakuwa kama kuna MTU anawashinikiza nyuma ya pazia kwasababu mimi ni mdau wa burudani sana nimefatilia tamasha la fiesta na numeshuhudia wimbo uliofungiwa (kiba 100) ukitumbuizwa na hakuna hatu zozote zilizochukuliwa alafu kwenye tamasha wanaoenda ni watu wazima
Kabisa.
 
Back
Top Bottom