Shida iko wapi? Yule ni msanii,lazima ujue situation mahala husika. Elewa utofauti wa mtu anaempelekea kwa makusudi tako mtu amshike,yule alikuwa stejini,kazi nyingine tofauti na hiyo uliyoichagua wewe ya kushikwa tako. Hicho kitendo kilitokea stejini. Ulitaka aache show aanze kumpa mangumi shabiki sio? Vijana bwana. Nyie ndio hamuwezi kuzizuia hasira hata kwa jambo dogo tu la kupita,halafu ukamaliza salama jambo uliloendea
Shida iko wapi? Yule ni msanii,lazima ujue situation mahala husika. Elewa utofauti wa mtu anaempelekea kwa makusudi tako mtu amshike,yule alikuwa stejini,kazi nyingine tofauti na hiyo uliyoichagua wewe ya kushikwa tako. Hicho kitendo kilitokea stejini. Ulitaka aache show aanze kumpa mangumi shabiki sio? Vijana bwana. Nyie ndio hamuwezi kuzizuia hasira hata kwa jambo dogo tu la kupita,halafu ukamaliza salama jambo uliloendea
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok madam... let's me check first. Lakini bado naona kuna haja ya kujua yule ni msanii,kuna mahala anaweza akakosea katika harakati za kuwafurahisha mashabiki,kwa hiyo lazima kutofautisha kati ya kukusudia kutenda au kitendo kisichofurahisha kilimfuata wakati yuko kwenye kitendo kingine chema tuMkuu ukienda insta au you tube utaiona video,kaiangalie vizuri kisha uje ubishe fresh. Pale aliwasogelea sana mashabiki kitu ambacho ni hatari kwa usalama wake. Msanii anayejiamin kwa show matata hawezi jitafutia kiki kwa namna ile.
Ok madam... let's me check first. Lakini bado naona kuna haja ya kujua yule ni msanii,kuna mahala anaweza akakosea katika harakati za kuwafurahisha mashabiki,kwa hiyo lazima kutofautisha kati ya kukusudia kutenda au kitendo kisichofurahisha kilimfuata wakati yuko kwenye kitendo kingine chema tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Cna uhakika kama ww ni Me au ke.ila kma ni Me na unaona hicho kitendo hapo ni cha kawaida ujue hauko Sawa au ushabik umekuzidia kiac kwamba unaona mond hakosei alaf mond "pesa zisije zikakufanya ukawa mtumwa kiac hicho"Ok madam... let's me check first. Lakini bado naona kuna haja ya kujua yule ni msanii,kuna mahala anaweza akakosea katika harakati za kuwafurahisha mashabiki,kwa hiyo lazima kutofautisha kati ya kukusudia kutenda au kitendo kisichofurahisha kilimfuata wakati yuko kwenye kitendo kingine chema tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha haha hatari sana jombaKwenye show ya dabiliyusibi nimeona diamond akishikwa tako halafu yeye ana amani kabisa na kuwatingishia zaidi tako mashabiki.
Kwa upande mwingine nimeona lava lava akishikwa mgegedo na wadada na ametulia tu hana aibu wala wasi wasi
View attachment 983511View attachment 983512
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh...! Basi sawa mkuu,sina nyongeza kwako. Mimi ni Me,nina watoto wa4Cna uhakika kama ww ni Me au ke.ila kma ni Me na unaona hicho kitendo hapo ni cha kawaida ujue hauko Sawa au ushabik umekuzidia kiac kwamba unaona mond hakosei alaf mond "pesa zisije zikakufanya ukawa mtumwa kiac hicho"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa diehard fans wa chibu hawawezi kuelewa hadi siku moja mtu wao avutwe nje ya jukwaa.Pamoja na kwamba ni msanii anatakiwa kuwa makini,kuna vitendo vingine havistahili,kuna video niliiona insta kuna msanii alikua kavaa bukta nyekundu(inasemekana ni lavalava)anaimba karibu kabisa na walipo mashabiki,wadada waliokua karibu na aliposimama wakawa wanamshika mapumb# Bila kusahau ndizi yenyewe halafu mwenyewe ni kama alikua anafurahia hicho kitendo,just imagine kama mtu ana nia mbaya si wangeweza ivuta na kumpa ulemavu wa kudumu.
Hawa diehard fans wa chibu hawawezi kuelewa hadi siku moja mtu wao avutwe nje ya jukwaa.