Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Kaka unabidi uwazoee wao wapo kwa ajili ya kuangalia mabo negative ya Mondi,hao ni ndugu zangu wa side B lakini matukio ya ndugu yao hawa yaanzishi thread ,nguo kama hizi angevaa Diamond ungeuona uzi umeanzishwa ila kavaa ndugu yao wanaona sawa,Shida iko wapi? Yule ni msanii,lazima ujue situation mahala husika. Elewa utofauti wa mtu anaempelekea kwa makusudi tako mtu amshike,yule alikuwa stejini,kazi nyingine tofauti na hiyo uliyoichagua wewe ya kushikwa tako. Hicho kitendo kilitokea stejini. Ulitaka aache show aanze kumpa mangumi shabiki sio? Vijana bwana. Nyie ndio hamuwezi kuzizuia hasira hata kwa jambo dogo tu la kupita,halafu ukamaliza salama jambo uliloendea
Sent using Jamii Forums mobile app
Poor point hakuna namna nyingine ya kuintertain hadi ushikwe tako baba wa watoto watatu.Vipi ulitaka ushikwe wewe!?.. Hao ni entertainers na walikuwa stejini kwenye jumuiya yenye akili tofauti zaidi ya mia!.
🤣🤣🤣🤣Wapige shoo huko BASATA wana wa Subiri kwa hamu walejee Tz[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]chezeya kuikomoa basata
L
Mkuu hiyo ya Lavalava ni aibuu nusu saa mashabiki wanamshika jamanii hata kama ni usanii huu umezidi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Noooo mamy ludi kanzicheki tena zile video mix pale wanawake na wanaume.Sijaona tatizo hapo
Waliomshika makalio dai ni wanawake.. Angalia vizuri
Wanaomshika uume lavalava ni wanawake.. We muhuni rijali kama huyo agome kushikwa hapo na hao wanawake[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano kwa jinsi demond alivyo kuwa anatingisha makalio angetokea shabiki akamvua ile suluali je kumbuka kwenye shoo asilimia kubwa wamelewa anacheza kijinga akitokea mwehu kumvunjia heshima.Shida iko wapi? Yule ni msanii,lazima ujue situation mahala husika. Elewa utofauti wa mtu anaempelekea kwa makusudi tako mtu amshike,yule alikuwa stejini,kazi nyingine tofauti na hiyo uliyoichagua wewe ya kushikwa tako. Hicho kitendo kilitokea stejini. Ulitaka aache show aanze kumpa mangumi shabiki sio? Vijana bwana. Nyie ndio hamuwezi kuzizuia hasira hata kwa jambo dogo tu la kupita,halafu ukamaliza salama jambo uliloendea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama ni wanawake si adabu unashikwaje matako bwana hawa Jamaa siwashabikii kwa mengi sana.🤣🤣🤣🤣🤣🤣Noooo mamy ludi kanzicheki tena zile video mix pale wanawake na wanaume.
Chezea raha weweL
Mkuu hiyo ya Lavalava ni aibuu nusu saa mashabiki wanamshika jamanii hata kama ni usanii huu umezidi
Aaaah...! Hapo ndio nimeelewa. Kumbe ksbb ya zile side,wanatafutiza chochote cha kuponda? Mimi shabiki wa mtu anaefanya vizuri.Kaka unabidi uwazoee wao wapo kwa ajili ya kuangalia mabo negative ya Mondi,hao ni ndugu zangu wa side B lakini matukio ya ndugu yao hawa yaanzishi thread ,nguo kama hizi angevaa Diamond ungeuona uzi umeanzishwa ila kavaa ndugu yao wanaona sawa,
View attachment 983693View attachment 983697View attachment 983704