WCB kweli mmefikia hii hatua????

WCB kweli mmefikia hii hatua????

Shida iko wapi? Yule ni msanii,lazima ujue situation mahala husika. Elewa utofauti wa mtu anaempelekea kwa makusudi tako mtu amshike,yule alikuwa stejini,kazi nyingine tofauti na hiyo uliyoichagua wewe ya kushikwa tako. Hicho kitendo kilitokea stejini. Ulitaka aache show aanze kumpa mangumi shabiki sio? Vijana bwana. Nyie ndio hamuwezi kuzizuia hasira hata kwa jambo dogo tu la kupita,halafu ukamaliza salama jambo uliloendea

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka unabidi uwazoee wao wapo kwa ajili ya kuangalia mabo negative ya Mondi,hao ni ndugu zangu wa side B lakini matukio ya ndugu yao hawa yaanzishi thread ,nguo kama hizi angevaa Diamond ungeuona uzi umeanzishwa ila kavaa ndugu yao wanaona sawa,
download1.jpg
1565924.jpg
download11.jpg
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]chezeya kuikomoa basata
🤣🤣🤣🤣Wapige shoo huko BASATA wana wa Subiri kwa hamu walejee Tz
 
Shida iko wapi? Yule ni msanii,lazima ujue situation mahala husika. Elewa utofauti wa mtu anaempelekea kwa makusudi tako mtu amshike,yule alikuwa stejini,kazi nyingine tofauti na hiyo uliyoichagua wewe ya kushikwa tako. Hicho kitendo kilitokea stejini. Ulitaka aache show aanze kumpa mangumi shabiki sio? Vijana bwana. Nyie ndio hamuwezi kuzizuia hasira hata kwa jambo dogo tu la kupita,halafu ukamaliza salama jambo uliloendea

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano kwa jinsi demond alivyo kuwa anatingisha makalio angetokea shabiki akamvua ile suluali je kumbuka kwenye shoo asilimia kubwa wamelewa anacheza kijinga akitokea mwehu kumvunjia heshima.
 
Kaka unabidi uwazoee wao wapo kwa ajili ya kuangalia mabo negative ya Mondi,hao ni ndugu zangu wa side B lakini matukio ya ndugu yao hawa yaanzishi thread ,nguo kama hizi angevaa Diamond ungeuona uzi umeanzishwa ila kavaa ndugu yao wanaona sawa,
View attachment 983693View attachment 983697View attachment 983704
Aaaah...! Hapo ndio nimeelewa. Kumbe ksbb ya zile side,wanatafutiza chochote cha kuponda? Mimi shabiki wa mtu anaefanya vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kidume kushikwa Dushe na mademu mashabiki sio noma, ila kushikwa tako nta comment bdae
 
Back
Top Bottom