Shilole kapata pesa kupitia Fiesta baada kuwa chawa wa Ruge kwa muda mrefu.Sio umaarufu hauleti hela sema wasanii wenu hawatumii umaarufu wao kupiga pesa mbona shilole ana mgahawa wake anaotumia umaarufu wake kupiga pesa.
Na huo mgahawa unamlipa sana hela zipo SEMA baadhi ya wasanii Ni wazembe.Tukija kuhusu uchawa wa ruge kwani shilole alikuwa anafanya show za fiesta pekee? Shilole amefanya show za kampuni mbalimbali na shows za nje pia Ni mmoja Kati ya wasanii ambaye Ni ambassador wa makampuni mengiShilole kapata pesa kupitia Fiesta baada kuwa chawa wa Ruge kwa muda mrefu.
Huko mgawahani anawekeza tu
Wasanii wengi vijipesa wanavyopata vinatosha tu kuishi kistaa: Kupanga nyumba nzuri, mavazi, gari, mafuta na kusafirisasa unakuwaje na pesa bila kuwekeza...?🚮
Endelea kupiga ramliHata siogopi mkuu, kuogopa id ya jf ni sawa na kuukimbia upepo.
Zuchu hana lolote na atachuja diku sio nyingi
Show za nje zipi mazee ?Na huo mgahawa unamlipa sana hela zipo SEMA baadhi ya wasanii Ni wazembe.Tukija kuhusu uchawa wa ruge kwani shilole alikuwa anafanya show za fiesta pekee? Shilole amefanya show za kampuni mbalimbali na shows za nje pia Ni mmoja Kati ya wasanii ambaye Ni ambassador wa makampuni mengi
Ni show pia na kalipwa na show za nje zinalipa kuliko hata za homeShow za nje zipi mazee ?
Ile ya kwenye Grocery ubelgiji ?
Bado wanabishaDaah Masauti ni kisanga uyu jamaa,,
1:Ipepete
2:Burudani
3:Kiboko
Hata siogopi mkuu, kuogopa id ya jf ni sawa na kuukimbia upepo.
Zuchu hana lolote na atachuja diku sio nyingi
Bado kuna watu watakubishia sana jamaa anajua sana huyo utadhani mbongoMasauti ni mzuri, anasound kibongo kwa asilimia zaidi ya 80. Ngoma zake zinafanya vizuri hata kwenye clubs
Naunga mkono hojaVipi kuhusu mario toto bad akichukuliwa WCB[emoji16][emoji16][emoji16]
Mmmmh ya kweli haya?Sexy mama sio yake Lavalava, ni ya RJ the DJ!
Mmmmh ya kweli haya?
WanazinguaBado wanabisha