WCB mchukueni msanii Masauti wa Kenya mtanishukuru baadae

Mmmmh ya kweli haya?
True mkuu..yaani ni sawa na useme Popstar ni ya Drake akati ni ya DJ Khaled,,Sexy mama Ni ya Rommy Jones Ila kaimba Lavalava kama wanavofanyaga kina DJ Snake,David Guetta,Major Laser,DJ Neptune,DJ Seven,Alan Walker nk.
 
Nimeelewa sasa kaka
 
Lavalava ni bonge la msanii sema kila mtu hawez kukubali,Hv ushasikilizaga "Dede" au ushawahi kusikiliza "hatuachani" dogo yuko vzuri sana sema huwezi kukubalika kwa kila mtu,though mm hata huyo mboso simkubali kabsa.lavalava ana goma lake jipya "ipekeche" hili goma weka kwenye bufa la maana halafu tuliza masikio utakuja kunishukuru!
 
Jamaa amuelewi yeye analazimisha wote tusimuelewe, Lava Lava yupo vizuri kuna "niue" "Go Gaga" "Gundu" hizo ngoma noma Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…