Ngareroo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 2,123
- 2,449
True mkuu..yaani ni sawa na useme Popstar ni ya Drake akati ni ya DJ Khaled,,Sexy mama Ni ya Rommy Jones Ila kaimba Lavalava kama wanavofanyaga kina DJ Snake,David Guetta,Major Laser,DJ Neptune,DJ Seven,Alan Walker nk.Mmmmh ya kweli haya?