WCB mshaurini boss wenu, akiendelea kumuwaza Kondeboy atapotea

Diamond ni genius nyie yupo kibiashara na anajua mbinu za ela hayo aloyafanya Jana ni moja ya njia mpka Leo hamjamuelewa tu yalofanywa Jana ni kuizima ngoma ya uno midomoni badala yake mdiscuss hili tunalofanya sasa
Hawez kuizima mana leo ndio inapelekwa uswahilini
 
KONDE ATAPIGA SHOW WASAFI FESTIVAL TENA BURE

tushasema dogo hataki ugomvi na nyie sema mnalazimisha
 
Wenzetu wanaingiza mamilioni sie tunabaki na ushabiki maandaziπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Maneno ya kuwa 'Domo' atapotea yameshakuwa bullshit story, yameanza zamani lakini ndiyo kwanza dogo anazidi kupaa.
He is a bloody strategist, he calculates every step. Mpaka waganga wa kienyeji walishajitokeza kwenye media uchwara wakimtabiria kupotea lakini ndiyo anazidi kupaa, biashara ya muziki na visa vya ushindani ni business so don't take any shit personal.
 
Sas ww unamfananisha harmonize&rayvanny kweny uhandishi
 
Wewe ndio akili hamna kabisa eti hakuna mwanamziki atakuja kumpita Domo wewe ushabiki wako wa kijijini kabisa kila kitu kina isha hao kina billgates wanapata wapinzani kina Bakhressa wanapata wapinzani itakua Domo
 
Nilichowaambia ni hiki nazan mmeamini .....kasikia mtoto anadondosha jiwe kesho kawashwa
 
Kaka anajaribu kuficha hisia inashindikana
Mtu yuko busy na wasanii wenzie wakubwa ambao wamewahi kuchukua tuzo kubwa kubwa huko nchi za watu dunia iliko,kina wizkid tiwa savage nk, aanze kumfikilia msaani wa chitoholi kusini mwa gamboshi?

Aache kufikiria atakavyopiga hela kwenye wasafi festival aanze kumuwaza kijana ambae hata mtoto wa kusingiziwa hana(tasa)

Nyie nendeni tu mkaunge juhudi za Cloud's na UNO la mmakonde maana mziki umesha wakataa.
 
Nimewaambia kk atapagawa sasa kaenda kufanya sponsored kuitafuta namba moja
 
Hiki ndio kitu Diamond alichotaka na kimeanza kufanya kazi, lengo lake lilikuwa awahamishe akili watanzania kutoka ushindani kati yake na ali kiba ambae kwa muda mrefu amesafiria nyota ya diamond na hiki kitu diamond hakikupemda

kwa sasa akili za wengi zimehamia kwenye ushindani Diamond vs Harmonize, Ali kiba hazungumziwi sana na hata Jana alipotoa ngoma haijabamba youtube.....Diamond alichifanya ni kama muuza chipsi kufungua banda la pili ili kumshusha jirani yake.

Hakuna bifu kati ya diamond na harmonize, ni mbinu tu ya kumpoteza kiba, hata harmonize anaendelea kumtania kishkaji diamond kwenye ngoma yake mpya,,,uno la Chibu chibu linamkondesha zari 😁 😁
 
sawa babu tale
 
Ni mbaya Sana kufananisha mtu mmoja na taasisi ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…