Hiki ndio kitu Diamond alichotaka na kimeanza kufanya kazi, lengo lake lilikuwa awahamishe akili watanzania kutoka ushindani kati yake na ali kiba ambae kwa muda mrefu amesafiria nyota ya diamond na hiki kitu diamond hakikupemda
kwa sasa akili za wengi zimehamia kwenye ushindani Diamond vs Harmonize, Ali kiba hazungumziwi sana na hata Jana alipotoa ngoma haijabamba youtube.....Diamond alichifanya ni kama muuza chipsi kufungua banda la pili ili kumshusha jirani yake.
Hakuna bifu kati ya diamond na harmonize, ni mbinu tu ya kumpoteza kiba, hata harmonize anaendelea kumtania kishkaji diamond kwenye ngoma yake mpya,,,uno la Chibu chibu linamkondesha zari [emoji16] [emoji16]