henryloso15
JF-Expert Member
- Apr 1, 2018
- 209
- 164
Kwanzia diamond kaanza Mziki yy anashindanishwa tu!! Alianza belle 9, Akaja Mavoko, Akaja Alikiba, Akaja Aslay na sasa Harmonize! Yani TBS ya mziki wa bongo ni Diamond !! Msanii yyte anayeonekana kufurukuta anafananishwa nae!! So Mmakonde ni wakat wake huu na utapita kama Wenzake wote!!! Just matter of Time!!