Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 831
- 770
- Thread starter
- #41
sio kwa mmakonde yuleBoss atishwi na vibaka wewe, upepo utapita kama ule wa menina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio kwa mmakonde yuleBoss atishwi na vibaka wewe, upepo utapita kama ule wa menina
Kitoto kimerithi hadi kuvimba kwa kaka yake ndio mana kaka anawaza mtoto kuondoka na swaga zotewallah mtoto na sifa yule kamzidi ata Dully mwenye cheo chake,kha!wale mbona wamwyagalambua
Jua nawafahamu vizuri....hukumsikia kuwa nimesalitiwa na Jeshi pale iringa au mnajitoa akiliMwandishi kuna kitu kina kuwasha...Toka dogo atoke #Platnumz aja ongelea ilo swala.ila naona ume Muongelea
wewe lazima ulikua team kiba.Tulieni kitoto kiwanyweshe dawa mana mnapanic sana dogo kawaambia hatak ugomvi na nyingi bado mnamtafuta sasa jiungeni wote pamoja na waimba kaswida wenu dogo awaoneshe show.
sasa tunajua kwa mziki na ukubwa dogo hamuwez mond..ila mond halali sabb njia zote alishamfundisha dogo so watagawana tu nguvu muda ukifika
Mimi namuonya kaka asimuwaze sana dogo sio kumuombea adondoke ili dogo apande hapana afanye kazi na dogo afanye aache kumuwazia dogo mabaya mana ndio atapotea yeyeKumbe ruge aliwahi kua meneja wa diamond? hebu mtoa mada achana na dhana ya nani apande nani ashuke, kila mmoja na ridhiki yake.Kila maumuzi yana matokeo yake hasa upande wa muamuaji,Hivo anaweza nufaika au kuangukia pua kwa maumuzi yake,Pato alilokua akiingiza konde aliwez kudhuru wcb kwa namna yoyote ile. Lakin usisahau mbio alianzisha diamond kisha konde akajiunga njiani, hivo konde kubadili njia na kuendeleza mbio kwa njia yake hakulet tofaut yoyote kwa chibu na jogging yake, kinyume chake ingemuathir konde boy.Mimi yangu macho
WCB BabyMkuu kabla harmonize ajatoka WCB ulikua team gani?
Si mlitaka show ndio tunawapa showMbupu teta wewe.
Nimezalisha wanawake 10 mtaani haraf nina miaka 28Kwan harmonize akimpta boss wake kunaubaya Gani ? So nimatunda kutoka WCB hatakama Diamond platnumz akishuka kimziki tayari kaacha alama
Kwan wewe umeacha alama gani kwenu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mikoba gani alitakiwa akabidhiwe???konde bado hajafika level ya kaka yake hapo mtakuja kumuua mtoto wa watu kumtia kichwa sema kaka yake kachanganyikiwa mana konde ndie alitakiwa amuachie mikoba sema dogo kaondoka wamebaki waimba kaswida na uhindi pale
Hahahaaaa kabeba nyotaaaa????Kitoto kimerithi hadi kuvimba kwa kaka yake ndio mana kaka anawaza mtoto kuondoka na swaga zote
napinga.wewe hata akili zako hazipo vizuri kama utumii bhange,jambogin au ulanzi na wanzukiWCB Baby
sawa Mkuu sio makosa yakoWCB Baby
Mi sijaona viashiria vyovyote vya konde kuwazwa na bos wake wa zaman.Mimi namuonya kaka asimuwaze sana dogo sio kumuombea adondoke ili dogo apande hapana afanye kazi na dogo afanye aache kumuwazia dogo mabaya mana ndio atapotea yeye
Sawawewe lazima ulikua team kiba.
unapinga ww ndio upo moyoni mwangunapinga.wewe hata akili zako hazipo vizuri kama utumii bhange,jambogin au ulanzi na wanzuki
wakina sie wazazi wapo hapo KUNDUCHI ile unayoisikiaga mitandaoni na bibi na babu wamezikwa kinondoni...so tukuulize ww umekumbuka hilo jukumu kwa wazazi huko buseleseleMnakumbuka kuwajengea makazi mazuri wazazi wenu, huko mbwinde kijijini?.
Chini ya mendja jembe Ni jembe kachemsha na demu wakizungu atamkimbia, keshachemsha kwenye management nilifikili angekuwa na meneja Kama masterJ.Diehard fans wa Diamond sijui ni kwanini wamechukizwa sana na Kondeboy kutoka WCB..wamebaki kusubiria aanze kupauka kama Rich Mavoko..kitu ambacho hakiwezi kutokea
UNO audio tu tayari 1m+ stream on youtube..
Tuache uchawi..Diamond afanye kazi aendelee kuwa juu,na Harmonize naye aendelee kuwa juu na hata akimpita Diamond iwe ni ishu ya kawaida