WCB mshaurini boss wenu, akiendelea kumuwaza Kondeboy atapotea

WCB mshaurini boss wenu, akiendelea kumuwaza Kondeboy atapotea

Mwandishi kuna kitu kina kuwasha...Toka dogo atoke #Platnumz aja ongelea ilo swala.ila naona ume Muongelea
Jua nawafahamu vizuri....hukumsikia kuwa nimesalitiwa na Jeshi pale iringa au mnajitoa akili
 
Tulieni kitoto kiwanyweshe dawa mana mnapanic sana dogo kawaambia hatak ugomvi na nyingi bado mnamtafuta sasa jiungeni wote pamoja na waimba kaswida wenu dogo awaoneshe show.


sasa tunajua kwa mziki na ukubwa dogo hamuwez mond..ila mond halali sabb njia zote alishamfundisha dogo so watagawana tu nguvu muda ukifika
wewe lazima ulikua team kiba.
 
Kumbe ruge aliwahi kua meneja wa diamond? hebu mtoa mada achana na dhana ya nani apande nani ashuke, kila mmoja na ridhiki yake.Kila maumuzi yana matokeo yake hasa upande wa muamuaji,Hivo anaweza nufaika au kuangukia pua kwa maumuzi yake,Pato alilokua akiingiza konde aliwez kudhuru wcb kwa namna yoyote ile. Lakin usisahau mbio alianzisha diamond kisha konde akajiunga njiani, hivo konde kubadili njia na kuendeleza mbio kwa njia yake hakulet tofaut yoyote kwa chibu na jogging yake, kinyume chake ingemuathir konde boy.Mimi yangu macho
Mimi namuonya kaka asimuwaze sana dogo sio kumuombea adondoke ili dogo apande hapana afanye kazi na dogo afanye aache kumuwazia dogo mabaya mana ndio atapotea yeye
 
Kwan harmonize akimpta boss wake kunaubaya Gani ? So nimatunda kutoka WCB hatakama Diamond platnumz akishuka kimziki tayari kaacha alama

Kwan wewe umeacha alama gani kwenu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimezalisha wanawake 10 mtaani haraf nina miaka 28
 
konde bado hajafika level ya kaka yake hapo mtakuja kumuua mtoto wa watu kumtia kichwa sema kaka yake kachanganyikiwa mana konde ndie alitakiwa amuachie mikoba sema dogo kaondoka wamebaki waimba kaswida na uhindi pale
Mikoba gani alitakiwa akabidhiwe???
 
Mnakumbuka kuwajengea makazi mazuri wazazi wenu, huko mbwinde kijijini?.
 
Mimi namuonya kaka asimuwaze sana dogo sio kumuombea adondoke ili dogo apande hapana afanye kazi na dogo afanye aache kumuwazia dogo mabaya mana ndio atapotea yeye
Mi sijaona viashiria vyovyote vya konde kuwazwa na bos wake wa zaman.
 
Mnakumbuka kuwajengea makazi mazuri wazazi wenu, huko mbwinde kijijini?.
wakina sie wazazi wapo hapo KUNDUCHI ile unayoisikiaga mitandaoni na bibi na babu wamezikwa kinondoni...so tukuulize ww umekumbuka hilo jukumu kwa wazazi huko buselesele
 
Diehard fans wa Diamond sijui ni kwanini wamechukizwa sana na Kondeboy kutoka WCB..wamebaki kusubiria aanze kupauka kama Rich Mavoko..kitu ambacho hakiwezi kutokea

UNO audio tu tayari 1m+ stream on youtube..

Tuache uchawi..Diamond afanye kazi aendelee kuwa juu,na Harmonize naye aendelee kuwa juu na hata akimpita Diamond iwe ni ishu ya kawaida
Chini ya mendja jembe Ni jembe kachemsha na demu wakizungu atamkimbia, keshachemsha kwenye management nilifikili angekuwa na meneja Kama masterJ.
 
Back
Top Bottom