WCB mshaurini boss wenu, akiendelea kumuwaza Kondeboy atapotea

WCB mshaurini boss wenu, akiendelea kumuwaza Kondeboy atapotea

Kwanzia diamond kaanza Mziki yy anashindanishwa tu!! Alianza belle 9, Akaja Mavoko, Akaja Alikiba, Akaja Aslay na sasa Harmonize! Yani TBS ya mziki wa bongo ni Diamond !! Msanii yyte anayeonekana kufurukuta anafananishwa nae!! So Mmakonde ni wakat wake huu na utapita kama Wenzake wote!!! Just matter of Time!!
 
mmakonde hajaja kushindana na mtu kaja kufanya mziki
 
binafsi napenda mafanikio ya harmonize japo to be objective, diamond ana uwezo mkubwa sana mbali kulinganisha na harmonize
 
kupata views 1m si tatzo, angalia nguvu kubwa aloitumia
Acha wivu wakijinga ww katumia nguvu gani wakati alivyotoka WCB media zote zilimtaka na zinatamani afanye interview nao maana ukiwa WCB huwezi fanya interview media zingine kwakuwa wanatofauti na WCB
 
Harmonize akimpita kwanza rayvanny ndo tutaamini kama anaweza kumpita diamond, note,hakuna msanii na hatotokea wa kumpita diamond.harmonize hata 1/3 tu ya diamond ajafika sembuse kumtetemesha?au kwa kuwa unajiita jina la kauli mbiu ya tigo fiesta levels baby(shoga),afu pia usimfananishe diamond (mbingu) na huyo ruge wako(ardhi) sawa.
Kweli ww ndio wa mwisho Rayvan anampita konde boy kwakipi labda konde boy Rayvan sio level yake ww Diamond mweyewe anajua anajua konde boy ndio anamuumiza kichwa saiz.
 
Mimi NASUBIRIA siku Domo na kondeboy I wafanye show the same city hapo ubish utaisha mana hapo atakayeuza ticket ndo yupo ju..mimi nafurah kuona vijana wanapiga PESA
Kondeboy role model wake ni Diamond. Ona anavyoimba, anavyocheza na baadhi ya style ni za Diamond. Ukumbuke hao ni marafiki na siku zote watu wanaojua kutengeneza hela Konde na Diamond lazima wapande jukwaa kupiga show. Nyie mtabaki tuone nani mkali ndiyo hivyo watu wanatengeneza pesa dizaini hiyo.
 
binafsi napenda mafanikio ya harmonize japo to be objective, diamond ana uwezo mkubwa sana mbali kulinganisha na harmonize
Harmonize role model wake ni Diamond. Angalia nyimbo za Harmonize nyingi kuna baadhi anachukua kutoka kwa Diamond
 
Acha wivu wakijinga ww katumia nguvu gani wakati alivyotoka WCB media zote zilimtaka na zinatamani afanye interview nao maana ukiwa WCB huwezi fanya interview media zingine kwakuwa wanatofauti na WCB
Pumbavu katumia nguvu na kupoteza hela kwa show za bure maana huu ni upepo wa kisulisuli
 
Kweli ww ndio wa mwisho Rayvan anampita konde boy kwakipi labda konde boy Rayvan sio level yake ww Diamond mweyewe anajua anajua konde boy ndio anamuumiza kichwa saiz.
Waambie kabisa wewe ni Tanasha. Unamuelewa Diamond in and out. Pia inaielewa WCB in and out
 
Back
Top Bottom