WCB mziki wenu ni wa Studio,Live mwachieni Ruby awafunze kuimba...!

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
7,683
Reaction score
15,128
Wakuu habari ya usiku

Mimi si mpenzi sana wakuongelea hizi ishu na wala sina timu ila uvumilivu umenishinda,,hao jamaa wanajiita Wasafi nimefatilia shoo zao wanazojinadi wataimba live na kukinukisha asee kwa uozo wanaofanya kheri ulipe kiingilio ukamwangalie mzee wa Liquid angalau utafurahi.

Usiku huu wapo Oman wanafanya Festival yao,utumbo wanaofanya ni sawa na wizi yaani wanaimba kama vile wana degedege.

Wenye timu yenu waambieni wasanii wenu wanajiaibisha na soon watu watakataa shoo zao.

#sijaambatanisha hiyo video lakini unaweza kuisearch Youtube ukaipata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanawaelewa wewe mmoja hauwaangushi. Achana nao!!

wakati ukuta.
 
Tofautisha muziki anaoufanya Ruby na WCB Ruby hata akipata watu wa kumshika kama Nandy ni sawasawa na bure soko la muziki wa Ruby lipo E.A tu hawezi kwenda Mozambique akaimba ila WCB na miziki yao wanakwenda.

Nandy alishiriki one africa concert Dubai mwaka jana ni aibu anaimba sana tatizo "Lugha" na aina ya muziki anaouimba unahitaji zaidi uelewa ama hisia WCB watakurusharusha ndiyo maana diamond aliwahi kusema anafanya miziki ya aina mbili wa ujanja ujanja ya kihuni yani kama NANA n.k hii hajalenga bongo kwa kiasi kikubwa ila SIKOMI hii ni yetu waswahili.

Ruby kufanya kwake vizuri SZIFF kusikufanye uhisi anaweza kwenda hockey ground kampala akafanikiwa vile.
 
ruby anasifiwa sana ila hauziki sokoni kimataifa,,,, na huko ndio kuna hela nyingi ambazo WCB wanazivuna

mziki anaoufanya ruby ndio walifanya kina lady jaydee, k lyn, na wengineo wengi.. prof jay , juma nature Tanzania walionekana hawana mpinzani ila nje ya nchi hawakuuzika kabisa..

mziki ambao unafika mbali ni ule wa WCB.. yaani wimbo unatoka unaeleweka unachezwa vipi.. mfano tetema.. style ya kucheza mabega imeubeba sana wimbo kufika mbali.

WCB wasanii wanarekodi wimbo.. kabla haujatoka kuna watu wameajiriwa kina mose iyobo, baajuni, zungu etc kazi yao ni kubuni style ya kucheza huo wimbo.. so wanabuni style ndio inatoka na wimbo... watu wanapenda kucheza sana.. wimbo una hit

Ruby hauziki kabisa.. mi namkubali sana sauti yake.. ila kibiashara hafai

mfano ngololo ngololo ukipigwa mtoto wa mwanza atacheza sawa sawa na mtoto wa mbeya , mtu wa zanzibar atacheza sawa sawa na mtu wa kenya.

ikipigwa sankoro hivyo hivyo.. ikipigwa salome hivyo hivyo.. huo ndio mziki biashara

NYIMBO ZA RUBY HAZICHEZEKI HAZINA SOKO
 
Tofautisha muziki anaoufanya Ruby na WCB Ruby hata akipata watu wa kumshika kama Nandy ni sawasawa na bure soko la muziki wa Ruby lipo E.A tu hawezi kwenda Mozambique akaimba ila WCB na miziki yao wanakwenda.

Nandy alishiriki one africa concert Dubai mwaka jana ni aibu anaimba sana tatizo "Lugha" na aina ya muziki anaouimba unahitaji zaidi uelewa ama hisia WCB watakurusharusha ndiyo maana diamond aliwahi kusema anafanya miziki ya aina mbili wa ujanja ujanja ya kihuni yani kama NANA n.k hii hajalenga bongo kwa kiasi kikubwa ila SIKOMI hii ni yetu waswahili.

Ruby kufanya kwake vizuri SZIFF kusikufanye uhisi anaweza kwenda hockey ground kampala akafanikiwa vile.
Wasipo elewa hapa tena achana nao

#Tunasimama na cag#
#Tunasimama na spika#
#Tunasimama na mazembe#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani kulikuwa na group linaitwa Milli Vanilli(watu wa zamani kidogo mtalikumbuka) hawa jamaa walikuwa hawajui kuimba kabisa..wanaandikiwa na kuimbiwa studio..kwenye show wanapiga play back..siku moja mziki ukazimwa waimbe akapela..waliuumbuka mbaya..sasa mmenikumbusha mbali ila WCB wanaimba wao..ila kama wakali wakajaze O2 London..ciao
 
Marekani kulikuwa na group linaitwa Milli Vanilli(watu wa zamani kidogo mtalikumbuka) hawa jamaa walikuwa hawajui kuimba kabisa..wanaandikiwa na kuimbiwa studio..kwenye show wanapiga play ukazimwa waimbe akapela..waliuumbmmenikumbusha mbali ila WCB wanaimba wao..ila kama wakali wakajaze O2 London..ciao
Bro ulifikiria hata kidogo kweli?
 
Tofautisha muziki anaoufanya Ruby na WCB Ruby hata akipata watu wa kumshika kama Nandy ni sawasawa na bure soko la muziki wa Ruby lipo E.A tu hawezi kwenda Mozambique akaimba ila WCB na miziki yao wanakwenda.

Nandy alishiriki one africa concert Dubai mwaka jana ni aibu anaimba sana tatizo "Lugha" na aina ya muziki anaouimba unahitaji zaidi uelewa ama hisia WCB watakurusharusha ndiyo maana diamond aliwahi kusema anafanya miziki ya aina mbili wa ujanja ujanja ya kihuni yani kama NANA n.k hii hajalenga bongo kwa kiasi kikubwa ila SIKOMI hii ni yetu waswahili.

Ruby kufanya kwake vizuri SZIFF kusikufanye uhisi anaweza kwenda hockey ground kampala akafanikiwa vile.
Hao wasafi wanaimba lugha gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wasafi wanaimba lugha gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hazard kanieleza msipoelewa niachane nanyi nadhani wewe pekee ndiye hujaelewa. Ruby anafanya cover za miziki ya U.S hawezi kwenda Ethiopia kuwaimbia cover ya Beyonce kwani kule hakuna waimba cover songs?

Je ataweza kwenda Nigeria kuimba Na yule akapata hata watu watano???
Rejea nilichokieleza WCB wanaimba miziki ya kulenga watu wa aina mbili hapa kibongo bongo na nje nyimbo kama Makurusa ile inaimbwa hata Denmark nyimbo kama kwangwaru inajaza E.A yote ila haiwezi kujaza S.A.
 
Tofautisha muziki anaoufanya Ruby na WCB Ruby hata akipata watu wa kumshika kama Nandy ni sawasawa na bure soko la muziki wa Ruby lipo E.A tu hawezi kwenda Mozambique akaimba ila WCB na miziki yao wanakwenda.

Nandy alishiriki one africa concert Dubai mwaka jana ni aibu anaimba sana tatizo "Lugha" na aina ya muziki anaouimba unahitaji zaidi uelewa ama hisia WCB watakurusharusha ndiyo maana diamond aliwahi kusema anafanya miziki ya aina mbili wa ujanja ujanja ya kihuni yani kama NANA n.k hii hajalenga bongo kwa kiasi kikubwa ila SIKOMI hii ni yetu waswahili.

Ruby kufanya kwake vizuri SZIFF kusikufanye uhisi anaweza kwenda hockey ground kampala akafanikiwa vile.
Daa umeandika mawazo yangu watu sijui kwanini awaelewi Diamond mwenyewe kashalosema hili na hata kwa Asley waliona, ndio maana lavalava anaimba na ndio mziki anaouzungumzia mtoa mada ila kaambiwa abadilike na management.

Hata Mond asili yake ni mziki unaouzungumzia we we mtoa mada ila si rahisi kutusua na hapo ndipo IPO siri ya kutusua.

Mfano Harmonize atarudi ndio mziki anaozungimzia mtoa mada ila angali Harmonize kainama Afrobongo ndio unamtambisha Harmonize nje.

So hii kitu kama ujasiriamali tu wacha mazoea mtoa mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom