feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Wakuu habari ya usiku
Mimi si mpenzi sana wakuongelea hizi ishu na wala sina timu ila uvumilivu umenishinda,,hao jamaa wanajiita Wasafi nimefatilia shoo zao wanazojinadi wataimba live na kukinukisha asee kwa uozo wanaofanya kheri ulipe kiingilio ukamwangalie mzee wa Liquid angalau utafurahi.
Usiku huu wapo Oman wanafanya Festival yao,utumbo wanaofanya ni sawa na wizi yaani wanaimba kama vile wana degedege.
Wenye timu yenu waambieni wasanii wenu wanajiaibisha na soon watu watakataa shoo zao.
#sijaambatanisha hiyo video lakini unaweza kuisearch Youtube ukaipata
Sent using Jamii Forums mobile app