Huo ndo mtihani ila hao jamaa mkuu hawajui kabisa mkuuTatizo sasa ruby hana pesa kiongozi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Achana nao mkuu. Fanya yako tu.Huo ndo mtihani ila hao jamaa mkuu hawajui kabisa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofautisha muziki anaoufanya Ruby na WCB Ruby hata akipata watu wa kumshika kama Nandy ni sawasawa na bure soko la muziki wa Ruby lipo E.A tu hawezi kwenda Mozambique akaimba ila WCB na miziki yao wanakwenda.
Nandy alishiriki one africa concert Dubai mwaka jana ni aibu anaimba sana tatizo "Lugha" na aina ya muziki anaouimba unahitaji zaidi uelewa ama hisia WCB watakurusharusha ndiyo maana diamond aliwahi kusema anafanya miziki ya aina mbili wa ujanja ujanja ya kihuni yani kama NANA n.k hii hajalenga bongo kwa kiasi kikubwa ila SIKOMI hii ni yetu waswahili.
Ruby kufanya kwake vizuri SZIFF kusikufanye uhisi anaweza kwenda hockey ground kampala akafanikiwa vile.
Wasipo elewa hapa tena achana naoTofautisha muziki anaoufanya Ruby na WCB Ruby hata akipata watu wa kumshika kama Nandy ni sawasawa na bure soko la muziki wa Ruby lipo E.A tu hawezi kwenda Mozambique akaimba ila WCB na miziki yao wanakwenda.
Nandy alishiriki one africa concert Dubai mwaka jana ni aibu anaimba sana tatizo "Lugha" na aina ya muziki anaouimba unahitaji zaidi uelewa ama hisia WCB watakurusharusha ndiyo maana diamond aliwahi kusema anafanya miziki ya aina mbili wa ujanja ujanja ya kihuni yani kama NANA n.k hii hajalenga bongo kwa kiasi kikubwa ila SIKOMI hii ni yetu waswahili.
Ruby kufanya kwake vizuri SZIFF kusikufanye uhisi anaweza kwenda hockey ground kampala akafanikiwa vile.
Bro ulifikiria hata kidogo kweli?Marekani kulikuwa na group linaitwa Milli Vanilli(watu wa zamani kidogo mtalikumbuka) hawa jamaa walikuwa hawajui kuimba kabisa..wanaandikiwa na kuimbiwa studio..kwenye show wanapiga play ukazimwa waimbe akapela..waliuumbmmenikumbusha mbali ila WCB wanaimba wao..ila kama wakali wakajaze O2 London..ciao
Hao wasafi wanaimba lugha gani?Tofautisha muziki anaoufanya Ruby na WCB Ruby hata akipata watu wa kumshika kama Nandy ni sawasawa na bure soko la muziki wa Ruby lipo E.A tu hawezi kwenda Mozambique akaimba ila WCB na miziki yao wanakwenda.
Nandy alishiriki one africa concert Dubai mwaka jana ni aibu anaimba sana tatizo "Lugha" na aina ya muziki anaouimba unahitaji zaidi uelewa ama hisia WCB watakurusharusha ndiyo maana diamond aliwahi kusema anafanya miziki ya aina mbili wa ujanja ujanja ya kihuni yani kama NANA n.k hii hajalenga bongo kwa kiasi kikubwa ila SIKOMI hii ni yetu waswahili.
Ruby kufanya kwake vizuri SZIFF kusikufanye uhisi anaweza kwenda hockey ground kampala akafanikiwa vile.
Mkuu unadhani mimi matusi sijui,,,Fanya yako mkuu waachiye wakija kukuomba usiwape kitu .. we mafunze kuimba ao endelea kujikuna msambwanda wako
Sent using Jamii Forums mobile app
FrenchHao wasafi wanaimba lugha gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hazard kanieleza msipoelewa niachane nanyi nadhani wewe pekee ndiye hujaelewa. Ruby anafanya cover za miziki ya U.S hawezi kwenda Ethiopia kuwaimbia cover ya Beyonce kwani kule hakuna waimba cover songs?Hao wasafi wanaimba lugha gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Daa umeandika mawazo yangu watu sijui kwanini awaelewi Diamond mwenyewe kashalosema hili na hata kwa Asley waliona, ndio maana lavalava anaimba na ndio mziki anaouzungumzia mtoa mada ila kaambiwa abadilike na management.Tofautisha muziki anaoufanya Ruby na WCB Ruby hata akipata watu wa kumshika kama Nandy ni sawasawa na bure soko la muziki wa Ruby lipo E.A tu hawezi kwenda Mozambique akaimba ila WCB na miziki yao wanakwenda.