pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 743
- 1,148
Wewe acha uongo Lil Wayne bdo yupo chini ya birdmanBado yuko pale sababu mkataba haumnyonyi.
Jiulize kwa nini Lil Wayne aliondoka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe acha uongo Lil Wayne bdo yupo chini ya birdmanBado yuko pale sababu mkataba haumnyonyi.
Jiulize kwa nini Lil Wayne aliondoka?
Mkataba alishikiwa bunduki kusaini??Ukiambiwa Harmonize alikuwa amesainiwa kwa miaka 15 masikio yatapokea hiyo sauti lakini akili itakataa kuamini au kuelewa hicho ilichopokea toka masikioni. Yani mkataba wa kazi wenye muda wa MUONGO NA NUSU? Tungekuwa ulaya tungeuita ni "CONTRACT FROM HELL".
Tuseme alisainiwa ana miaka 20, ina maana mpaka anafikisha miaka 35 lazima awe chini yao. Hapo katikati akiwa na miaka 22 mpaka 30 ndio muda wa kupiga kazi kwa nguvu na kutengeneza future yake. Sote tunajua lifespan ya soko la muziki huwa ni ndogo, huwezi kuwika zaidi ya miaka 10. Usipotumia muda vizuri ndani ya miaka hiyo basi ishakula kwako.
Kibaya zaidi boss wao pia anafanya kazi ileile ya kuimba, na hawezi kukubali hao alowaajiri wampite. Kwa maana hiyo msanii hawezi fikia ile maximum peak yake kwa sababu yuko limited na masharti ya kutompita boss wake.
Mikataba ya namna hii ni mibovu kwa sababu inamgeuza msanii husika kuwa mwajiriwa wa lebo husika. Yani mkataba unakuwa haumruhusu kujiendeleza yeye kama yeye bali kuiendeleza lebo.
Hii inafanya kama mko wengi kwenye lebo wote mbweteke na kuondoa ushindani na ubunifu kwa sababu hata ufanye kazi kwa bidii vipi mafanikio yote inabeba lebo wewe unabaki ni ile % mloandikiana tuu.
Pia hii inaleta mgongano wa kimaslahi kwenye lebo kwa sababu anayefanikiwa ataona kama wenzie wanamnyonya jasho lake.
Ndani ya WCB bosi mmojawapo ambaye ni Diamond Platnumz pia ni msanii. Kwa hiyo kusainiwa pale ni kama mchezaji kucheza na kocha wake uwanjani na wote wanataka kila mmoja afunge. Yani ni sawa na wewe uajiriwe kwenye kampuni halafu baadae ufungue kampuni kama ile uloajiriwa. Lazima mchukiane na boss kwani hatopenda kupitwa hasa akigundua unampiku mbinu za kibiashara.
Ndio maana vijana wa WCB wamepigwa pini hakuna kumpita boss wao DP.
Katika dunia ya sasa ni ujinga wa hali ya juu kusaini wasanii kwa kufuata mfumo wa miaka. Wenzetu waliondelea wanamanage kazi za wasanii hawamanage wasanii. Yani the more unavyopiga kazi kubwa na kutoa kazi kali kali ndio unajikuza wewe sio lebo yako.
Sasa hapa bongo eti unawasaini wasanii na kuwalipa mshahara kwa mwezi, unawatafutia na nyumba za kupanga na ki-premio cha 10M ili kuwazuga.
Ndio maana kazi za WCB zikitoka wanaipigia promo weeeeh, mpaka kwa kutumia kiki za ajabu ajabu zinazokinzana na maadili yetu ili tuu kuipa nguvu kazi yao. Lakini unakuta hiyo kazi haivuki hata mpaka wa Namanga pale.
Ndio maana tumeshuhudia hata Diamond mwenyewe akiporomoka kwenye soko la muziki Afrika. Hapati nominations tena kwenye tuzo mbalimbali sababu hakuna kipya alichonacho kulinganisha na mwanzo alivyokuwa anafanya kazi kwa kujituma.
Yani mikataba ya lebo za muziki tanzania haina tofauti na ule mkataba wa bandari ya bagamoyo. Kwa hali hii sijui sekta gani itapiga hatua kwa haraka Tanzania kama urasimu wa mikataba umekamata sekta zote[emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 1190044
acha kuaibisha waongo sio vizuri jali hisia za wengineTupac alisaini mkataba wa maisha na lebo gani mkuu?
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu nzuri.
Tupac alisaini mkataba wa miaka 3 tuu.
View attachment 1190063
na baada ya kuondoka kilifuata nini?Bado yuko pale sababu mkataba haumnyonyi.
Jiulize kwa nini Lil Wayne aliondoka?
inaonekana hujui chochote kuhusu mikataba ya wasanii mbalimbali duniani....pole sanaUkiambiwa Harmonize alikuwa amesainiwa kwa miaka 15 masikio yatapokea hiyo sauti lakini akili itakataa kuamini au kuelewa hicho ilichopokea toka masikioni. Yani mkataba wa kazi wenye muda wa MUONGO NA NUSU? Tungekuwa ulaya tungeuita ni "CONTRACT FROM HELL".
Tuseme alisainiwa ana miaka 20, ina maana mpaka anafikisha miaka 35 lazima awe chini yao. Hapo katikati akiwa na miaka 22 mpaka 30 ndio muda wa kupiga kazi kwa nguvu na kutengeneza future yake. Sote tunajua lifespan ya soko la muziki huwa ni ndogo, huwezi kuwika zaidi ya miaka 10. Usipotumia muda vizuri ndani ya miaka hiyo basi ishakula kwako.
Kibaya zaidi boss wao pia anafanya kazi ileile ya kuimba, na hawezi kukubali hao alowaajiri wampite. Kwa maana hiyo msanii hawezi fikia ile maximum peak yake kwa sababu yuko limited na masharti ya kutompita boss wake.
Mikataba ya namna hii ni mibovu kwa sababu inamgeuza msanii husika kuwa mwajiriwa wa lebo husika. Yani mkataba unakuwa haumruhusu kujiendeleza yeye kama yeye bali kuiendeleza lebo.
Hii inafanya kama mko wengi kwenye lebo wote mbweteke na kuondoa ushindani na ubunifu kwa sababu hata ufanye kazi kwa bidii vipi mafanikio yote inabeba lebo wewe unabaki ni ile % mloandikiana tuu.
Pia hii inaleta mgongano wa kimaslahi kwenye lebo kwa sababu anayefanikiwa ataona kama wenzie wanamnyonya jasho lake.
Ndani ya WCB bosi mmojawapo ambaye ni Diamond Platnumz pia ni msanii. Kwa hiyo kusainiwa pale ni kama mchezaji kucheza na kocha wake uwanjani na wote wanataka kila mmoja afunge. Yani ni sawa na wewe uajiriwe kwenye kampuni halafu baadae ufungue kampuni kama ile uloajiriwa. Lazima mchukiane na boss kwani hatopenda kupitwa hasa akigundua unampiku mbinu za kibiashara.
Ndio maana vijana wa WCB wamepigwa pini hakuna kumpita boss wao DP.
Katika dunia ya sasa ni ujinga wa hali ya juu kusaini wasanii kwa kufuata mfumo wa miaka. Wenzetu waliondelea wanamanage kazi za wasanii hawamanage wasanii. Yani the more unavyopiga kazi kubwa na kutoa kazi kali kali ndio unajikuza wewe sio lebo yako.
Sasa hapa bongo eti unawasaini wasanii na kuwalipa mshahara kwa mwezi, unawatafutia na nyumba za kupanga na ki-premio cha 10M ili kuwazuga.
Ndio maana kazi za WCB zikitoka wanaipigia promo weeeeh, mpaka kwa kutumia kiki za ajabu ajabu zinazokinzana na maadili yetu ili tuu kuipa nguvu kazi yao. Lakini unakuta hiyo kazi haivuki hata mpaka wa Namanga pale.
Ndio maana tumeshuhudia hata Diamond mwenyewe akiporomoka kwenye soko la muziki Afrika. Hapati nominations tena kwenye tuzo mbalimbali sababu hakuna kipya alichonacho kulinganisha na mwanzo alivyokuwa anafanya kazi kwa kujituma.
Yani mikataba ya lebo za muziki tanzania haina tofauti na ule mkataba wa bandari ya bagamoyo. Kwa hali hii sijui sekta gani itapiga hatua kwa haraka Tanzania kama urasimu wa mikataba umekamata sekta zote[emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 1190044
Sio mikataba inabanwa, ndio maana mazungumzo huwa yanafanyika kurekebisha baadhi ya vipengele vya mkataba.Watajua wapi?
Mikataba ya wenzetu haiwabani kuwa lebo zao ila hapa bongo unapigwa ban hata kufanya collabo na msanii fulani na fulani.
Kipindi diamond ana invest kwa huyu mmakonde hela nyingi ikiwa huyu mmakonde Hana nyuma Wala mbele hata hela ya kulipa nauli ilikuwa shida kwake unafikiri hela zinaokotwa inabidi huyo mmakonde arudishe investment iliyowekezwa kwake na pia wakati anasign huo mkataba si aliamua yeyemwenyewe au alilazimishwa?yaani haya maneno unayoongea utazidi kumuaribia huyo dogo.
Una mindset ndogo Sana ndugu yangu " Hakuna mfanyabiashara asietaka faida na ukiingia kwenye biashara ya mikataba ww Tayar ni bepari Alafu pili unavyo sain mikataba wl hawakushikii mtutu unapewe unasoma na kuelewa ndipo anaangusha saini yko, swala la mda Mbn kanye west kasain mkataba wa milele mpk afe kwaiyo hle n biashara Ange feli mngesema anasin watu wasio kuwa na vipaji jaribu kukuza mindset ykoUkiambiwa Harmonize alikuwa amesainiwa kwa miaka 15 masikio yatapokea hiyo sauti lakini akili itakataa kuamini au kuelewa hicho ilichopokea toka masikioni. Yani mkataba wa kazi wenye muda wa MUONGO NA NUSU? Tungekuwa ulaya tungeuita ni "CONTRACT FROM HELL".
Tuseme alisainiwa ana miaka 20, ina maana mpaka anafikisha miaka 35 lazima awe chini yao. Hapo katikati akiwa na miaka 22 mpaka 30 ndio muda wa kupiga kazi kwa nguvu na kutengeneza future yake. Sote tunajua lifespan ya soko la muziki huwa ni ndogo, huwezi kuwika zaidi ya miaka 10. Usipotumia muda vizuri ndani ya miaka hiyo basi ishakula kwako.
Kibaya zaidi boss wao pia anafanya kazi ileile ya kuimba, na hawezi kukubali hao alowaajiri wampite. Kwa maana hiyo msanii hawezi fikia ile maximum peak yake kwa sababu yuko limited na masharti ya kutompita boss wake.
Mikataba ya namna hii ni mibovu kwa sababu inamgeuza msanii husika kuwa mwajiriwa wa lebo husika. Yani mkataba unakuwa haumruhusu kujiendeleza yeye kama yeye bali kuiendeleza lebo.
Hii inafanya kama mko wengi kwenye lebo wote mbweteke na kuondoa ushindani na ubunifu kwa sababu hata ufanye kazi kwa bidii vipi mafanikio yote inabeba lebo wewe unabaki ni ile % mloandikiana tuu.
Pia hii inaleta mgongano wa kimaslahi kwenye lebo kwa sababu anayefanikiwa ataona kama wenzie wanamnyonya jasho lake.
Ndani ya WCB bosi mmojawapo ambaye ni Diamond Platnumz pia ni msanii. Kwa hiyo kusainiwa pale ni kama mchezaji kucheza na kocha wake uwanjani na wote wanataka kila mmoja afunge. Yani ni sawa na wewe uajiriwe kwenye kampuni halafu baadae ufungue kampuni kama ile uloajiriwa. Lazima mchukiane na boss kwani hatopenda kupitwa hasa akigundua unampiku mbinu za kibiashara.
Ndio maana vijana wa WCB wamepigwa pini hakuna kumpita boss wao DP.
Katika dunia ya sasa ni ujinga wa hali ya juu kusaini wasanii kwa kufuata mfumo wa miaka. Wenzetu waliondelea wanamanage kazi za wasanii hawamanage wasanii. Yani the more unavyopiga kazi kubwa na kutoa kazi kali kali ndio unajikuza wewe sio lebo yako.
Sasa hapa bongo eti unawasaini wasanii na kuwalipa mshahara kwa mwezi, unawatafutia na nyumba za kupanga na ki-premio cha 10M ili kuwazuga.
Ndio maana kazi za WCB zikitoka wanaipigia promo weeeeh, mpaka kwa kutumia kiki za ajabu ajabu zinazokinzana na maadili yetu ili tuu kuipa nguvu kazi yao. Lakini unakuta hiyo kazi haivuki hata mpaka wa Namanga pale.
Ndio maana tumeshuhudia hata Diamond mwenyewe akiporomoka kwenye soko la muziki Afrika. Hapati nominations tena kwenye tuzo mbalimbali sababu hakuna kipya alichonacho kulinganisha na mwanzo alivyokuwa anafanya kazi kwa kujituma.
Yani mikataba ya lebo za muziki tanzania haina tofauti na ule mkataba wa bandari ya bagamoyo. Kwa hali hii sijui sekta gani itapiga hatua kwa haraka Tanzania kama urasimu wa mikataba umekamata sekta zote[emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 1190044
Power breakfast channel gani?......... Maelezo yako ya jumla jumla yanafanya story yako kutokuwa kweliNdio maana nilikwambia umechelewa sana kuja mjini, unaniita muongo wakati hujui lolote.
.
Nilikuwa najaribu kukupa tu taarifa kuwa mikataba ya wasanii wote wa Wasafi inajulikana na ni 10 years kila mmoja isipokuwa dada mtu na wala sio 15 yrs.
.
2pac amar shakur alichapwa risasi na BIG Notorious akalazwa baadae akabambikwa kesi ya ubakaji Suge Knight akaingilia kati baada ya mshikaji kuhukumiwa akamtoa jela na kumpa mkataba wa maisha kufanya kazi chini ya lebo yake.
.
1996 akaanza kuleta ujuaji hadi kuanz kuvaa vyeni vyenye kutambulisha he's own coming music label yani baada ya kuanza vile tu hakuchukua muda (R.I.P) king.
.
Sasa wewe unaleta hizo forged contract za kishamba suge Knight bado yu hai na ashaongea sana kwenye interviews mbalimbali tafuta interview yake ya mwisho kafanya kwenye kipindi cha Power breakfast huko (U.S).
.
Nimekuuliza na swali je unajua Kanye west ana mkataba wa kufanyia watu muziki maisha yake yote?
.
Unajua Rihanna atatamba huko kotee ila Rock nation atarudi tu?
Kama hujui kitu unakausha unapita kushoto unaendelea na mambo mengine we unajua power breakfast ya Clouds fm tu pole sanaaa hujui hata hilo jina la kipindi walilitoa wapi.Power breakfast channel gani?......... Maelezo yako ya jumla jumla yanafanya story yako kutokuwa kweli
Lkn kipind unahitaji kutoka kimziki Wala hukuona km inakubana watu wanvyotia tia hela kwenye kaz zako wanakubrand vizur baada ya kutoka na kukutafutia connection Ndio unaona sasa wananibana km unaelewa Hakuna anaye taka apate hasara kwenye biashara n swala la mda tuEMI ilimsaini Kanye 2003 kabla hajatoa album yake ya The College Dropout. Mkataba wake ulikuwa wa miaka 7 saba tuu na uliisha 2010.
Tatizo lako unatetea mikataba ya muda mrefu wakati huko mambele wanaikimbia na hawaitaki kwa sasa.
Kanye West huyohuyo ana kesi na Roc-a-Fella Records, UMG Recordings, Def Jam, and Bravado International Group.
Ndio maana nasema na bongo pia mikataba ni ya kinyonyaji ndio maana wasanii kutwa kujitoa kwenye lebo zao.
Nipo mzee wa death row habari za sikuMzee miaka ya 1990s uko
We jamaa unichekesha unataka kuniambia wcb walikuwa hawawekez kwenye kazi zake unafikiri wasingekuwa hawainvest kwenye kazi zake angefika kwenye level hizo?hizo connection za international artists si alipata kupitia wcb video ya kwanza tu ya harmonize ililipwa mil 30.siku nyingine usipende kuandika thread kwa miemuko Bila kufikiri ndo maana 99% wamekupinga na inaonesha umeanza kumfuatilia harmo kipindi ana mafanikio ujawahi kumfuatilia kipindi akiwa Hana chochote na WCB wamefanya kazi kubwa kwake kumbuka harmo alikataliwa bss pia msanii aliyepigwa Vita Sana Bila ya WCB kusimama kidete harmo asingefika hapo.sijaona mantiki yako yakuwalaumu WCB ulitakiwa kuwashukuru.Uzi wako utazidi kumfanya harmo achukiwe Sana na fans wa music especially wanaompenda diamond Sana.
Kwani uo mkataba ndo kausoma leo? mind you huyu jamaa kaanzia pale from scratch wakampika akaiva so we unategemea maandaliz yake yangechukua siku kumi? tatizo la vijana mnapenda shortcuts sanaUkiambiwa Harmonize alikuwa amesainiwa kwa miaka 15 masikio yatapokea hiyo sauti lakini akili itakataa kuamini au kuelewa hicho ilichopokea toka masikioni. Yani mkataba wa kazi wenye muda wa MUONGO NA NUSU? Tungekuwa ulaya tungeuita ni "CONTRACT FROM HELL".
Tuseme alisainiwa ana miaka 20, ina maana mpaka anafikisha miaka 35 lazima awe chini yao. Hapo katikati akiwa na miaka 22 mpaka 30 ndio muda wa kupiga kazi kwa nguvu na kutengeneza future yake. Sote tunajua lifespan ya soko la muziki huwa ni ndogo, huwezi kuwika zaidi ya miaka 10. Usipotumia muda vizuri ndani ya miaka hiyo basi ishakula kwako.
Kibaya zaidi boss wao pia anafanya kazi ileile ya kuimba, na hawezi kukubali hao alowaajiri wampite. Kwa maana hiyo msanii hawezi fikia ile maximum peak yake kwa sababu yuko limited na masharti ya kutompita boss wake.
Mikataba ya namna hii ni mibovu kwa sababu inamgeuza msanii husika kuwa mwajiriwa wa lebo husika. Yani mkataba unakuwa haumruhusu kujiendeleza yeye kama yeye bali kuiendeleza lebo.
Hii inafanya kama mko wengi kwenye lebo wote mbweteke na kuondoa ushindani na ubunifu kwa sababu hata ufanye kazi kwa bidii vipi mafanikio yote inabeba lebo wewe unabaki ni ile % mloandikiana tuu.
Pia hii inaleta mgongano wa kimaslahi kwenye lebo kwa sababu anayefanikiwa ataona kama wenzie wanamnyonya jasho lake.
Ndani ya WCB bosi mmojawapo ambaye ni Diamond Platnumz pia ni msanii. Kwa hiyo kusainiwa pale ni kama mchezaji kucheza na kocha wake uwanjani na wote wanataka kila mmoja afunge. Yani ni sawa na wewe uajiriwe kwenye kampuni halafu baadae ufungue kampuni kama ile uloajiriwa. Lazima mchukiane na boss kwani hatopenda kupitwa hasa akigundua unampiku mbinu za kibiashara.
Ndio maana vijana wa WCB wamepigwa pini hakuna kumpita boss wao DP.
Katika dunia ya sasa ni ujinga wa hali ya juu kusaini wasanii kwa kufuata mfumo wa miaka. Wenzetu waliondelea wanamanage kazi za wasanii hawamanage wasanii. Yani the more unavyopiga kazi kubwa na kutoa kazi kali kali ndio unajikuza wewe sio lebo yako.
Sasa hapa bongo eti unawasaini wasanii na kuwalipa mshahara kwa mwezi, unawatafutia na nyumba za kupanga na ki-premio cha 10M ili kuwazuga.
Ndio maana kazi za WCB zikitoka wanaipigia promo weeeeh, mpaka kwa kutumia kiki za ajabu ajabu zinazokinzana na maadili yetu ili tuu kuipa nguvu kazi yao. Lakini unakuta hiyo kazi haivuki hata mpaka wa Namanga pale.
Ndio maana tumeshuhudia hata Diamond mwenyewe akiporomoka kwenye soko la muziki Afrika. Hapati nominations tena kwenye tuzo mbalimbali sababu hakuna kipya alichonacho kulinganisha na mwanzo alivyokuwa anafanya kazi kwa kujituma.
Yani mikataba ya lebo za muziki tanzania haina tofauti na ule mkataba wa bandari ya bagamoyo. Kwa hali hii sijui sekta gani itapiga hatua kwa haraka Tanzania kama urasimu wa mikataba umekamata sekta zote[emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 1190044
Kwani ni lazima kusaini...? we mbona huangalii before unaangalia after....kama unaona mikataba ni ya kibeberu kawaambia undergrounds wote usituambie sisi..watu wakae wakubaliane wawekeshane saini alafu leo hii mmoja aje aanze kusema oooh..sijui mkataba sio kwani wakat wa kuusoma na kuwekeshana saini alikua wapi? au uliandikwa kichinaa?Ndio maana anasaini wasanii kwa mikataba ya kibeberu sana, sababu anajua lazima itafika muda watampiku tuu.
Binadamu hatunaga shukran mkuu....Aisee.
Leo hii Mond hana maana tena?
Haya letw thread ya kusifia mafanikio ya Mr nice na ray c
Sasa utawezaje kutofautisha kazi ya msanii na msanii mwenyewe " au Ndio hatufanyi kazi na Assad ila tunafanya kaz na CAGWapi nimesema wcb walikuwa hawawekezi kwa harmo?
My point ni kwamba wanatumia nguvu kubwa kumpromote mtu wakat wanachotakiwa ni kazi za msanii ndio zijipromote.