Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Kwa nini unakimbilia post za magazeti kwenye internet usisome makaratsi ya mahakamni yenyewe? Yanaanza hiviMimi kipunga wewe ndezi kubi.
.
Eti wasiosoma mambo bali hudandia unadhani link niliyoitoa huo uamuzi umetolewa na madiwani?
Mahakama ya New york city federal court imeamua Kanye afanye muziki kwa maisha yake yote kwa sababu ya mkataba alioingia na EMI bado ni valid.
.
Kanye West's EMI Contract States He's Not Allowed to Retire
West's EMI publishing contract, currently at the center of a wide-ranging lawsuit, states that West will "remain actively involved in writing, recording and producing Compositions and Major Label Albums, as Your principle occupation." Furthermore, West must "at no time during the Term" initiate a retirement from those occupations or take an extended hiatus in which he's not actively carrying them out.
This wording was revealed thanks to the latest move in the dispute from EMI.
Ni karatsi 50, kwa hiyo ukitaka kutafsiriwa kwa lugha rahisi kutoka lugha za kisheria itakuwa ni vigumu kwa leo.
Halafu kama hujui malalamiko ya Kanye (niliyaandika huko nyuma) ni kuwa mkataba huo unatumia muda unaitwa "contract year" ambayo siyo miezi kumi na mbili bali ni kipindi ambacho Kanye anafikisha kutoa nyimbo kadhaa. Akifikisha idadi hiyo ndani ya miezi 12, basi mwaka inakuwa ni miezi 12, na asipotoa nyimbo zinazotakiwa kwa miaka minne, basi miaka yote minne hiyo inahesabiwa kuwa ni mwaka mmoja. Malamiko yake ni kutaka definition ya mwaka iwe wazi siyo hiyo ya kubadilikabadilika. Soma makaratasi ya kisheria ambayo nimekuwekea siyo hayo maneno ya Yahoo ambako mtu yeyote anaweza kuandika. Kwanza kesi yenyewe hata haijaamuliwa bado iko mahakamani halafu wewe unakurupuka na upupu hapa kwamba ameamuliwa na new York City wakati kesi yenyewe iko California.
Hata hiyo link ulyoweka ya Yahoo nadhani uliokoteza tu bila hata kuisoma kwani haipo. Ni tabu kweli kuelimisha graduates wa shule za kata (no offense).