joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
kama unayo any reliable source iweke hapa.Bado unatumia Wikipedia kama main source ya taarifa zako. Basi unahitaji kufanya mabadiliko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama unayo any reliable source iweke hapa.Bado unatumia Wikipedia kama main source ya taarifa zako. Basi unahitaji kufanya mabadiliko
Idadi ya mademkama akimzidi kwa hela..kuna nini hatomzidi?
Ndio maana nilikwambia umechelewa sana kuja mjini, unaniita muongo wakati hujui lolote.
.
Nilikuwa najaribu kukupa tu taarifa kuwa mikataba ya wasanii wote wa Wasafi inajulikana na ni 10 years kila mmoja isipokuwa dada mtu na wala sio 15 yrs.
.
2pac amar shakur alichapwa risasi na BIG Notorious akalazwa baadae akabambikwa kesi ya ubakaji Suge Knight akaingilia kati baada ya mshikaji kuhukumiwa akamtoa jela na kumpa mkataba wa maisha kufanya kazi chini ya lebo yake.
.
1996 akaanza kuleta ujuaji hadi kuanz kuvaa vyeni vyenye kutambulisha he's own coming music label yani baada ya kuanza vile tu hakuchukua muda (R.I.P) king.
.
Sasa wewe unaleta hizo forged contract za kishamba suge Knight bado yu hai na ashaongea sana kwenye interviews mbalimbali tafuta interview yake ya mwisho kafanya kwenye kipindi cha Power breakfast huko (U.S).
.
Nimekuuliza na swali je unajua Kanye west ana mkataba wa kufanyia watu muziki maisha yake yote?
.
Unajua Rihanna atatamba huko kotee ila Rock nation atarudi tu?
No needkama unayo any reliable source iweke hapa.
Ukiambiwa Harmonize alikuwa amesainiwa kwa miaka 15 masikio yatapokea hiyo sauti lakini akili itakataa kuamini au kuelewa hicho ilichopokea toka masikioni. Yani mkataba wa kazi wenye muda wa MUONGO NA NUSU? Tungekuwa ulaya tungeuita ni "CONTRACT FROM HELL".
Tuseme alisainiwa ana miaka 20, ina maana mpaka anafikisha miaka 35 lazima awe chini yao. Hapo katikati akiwa na miaka 22 mpaka 30 ndio muda wa kupiga kazi kwa nguvu na kutengeneza future yake. Sote tunajua lifespan ya soko la muziki huwa ni ndogo, huwezi kuwika zaidi ya miaka 10. Usipotumia muda vizuri ndani ya miaka hiyo basi ishakula kwako.
Kibaya zaidi boss wao pia anafanya kazi ileile ya kuimba, na hawezi kukubali hao alowaajiri wampite. Kwa maana hiyo msanii hawezi fikia ile maximum peak yake kwa sababu yuko limited na masharti ya kutompita boss wake.
Mikataba ya namna hii ni mibovu kwa sababu inamgeuza msanii husika kuwa mwajiriwa wa lebo husika. Yani mkataba unakuwa haumruhusu kujiendeleza yeye kama yeye bali kuiendeleza lebo.
Hii inafanya kama mko wengi kwenye lebo wote mbweteke na kuondoa ushindani na ubunifu kwa sababu hata ufanye kazi kwa bidii vipi mafanikio yote inabeba lebo wewe unabaki ni ile % mloandikiana tuu.
Pia hii inaleta mgongano wa kimaslahi kwenye lebo kwa sababu anayefanikiwa ataona kama wenzie wanamnyonya jasho lake.
Ndani ya WCB bosi mmojawapo ambaye ni Diamond Platnumz pia ni msanii. Kwa hiyo kusainiwa pale ni kama mchezaji kucheza na kocha wake uwanjani na wote wanataka kila mmoja afunge. Yani ni sawa na wewe uajiriwe kwenye kampuni halafu baadae ufungue kampuni kama ile uloajiriwa. Lazima mchukiane na boss kwani hatopenda kupitwa hasa akigundua unampiku mbinu za kibiashara.
Ndio maana vijana wa WCB wamepigwa pini hakuna kumpita boss wao DP.
Katika dunia ya sasa ni ujinga wa hali ya juu kusaini wasanii kwa kufuata mfumo wa miaka. Wenzetu waliondelea wanamanage kazi za wasanii hawamanage wasanii. Yani the more unavyopiga kazi kubwa na kutoa kazi kali kali ndio unajikuza wewe sio lebo yako.
Sasa hapa bongo eti unawasaini wasanii na kuwalipa mshahara kwa mwezi, unawatafutia na nyumba za kupanga na ki-premio cha 10M ili kuwazuga.
Ndio maana kazi za WCB zikitoka wanaipigia promo weeeeh, mpaka kwa kutumia kiki za ajabu ajabu zinazokinzana na maadili yetu ili tuu kuipa nguvu kazi yao. Lakini unakuta hiyo kazi haivuki hata mpaka wa Namanga pale.
Ndio maana tumeshuhudia hata Diamond mwenyewe akiporomoka kwenye soko la muziki Afrika. Hapati nominations tena kwenye tuzo mbalimbali sababu hakuna kipya alichonacho kulinganisha na mwanzo alivyokuwa anafanya kazi kwa kujituma.
Yani mikataba ya lebo za muziki tanzania haina tofauti na ule mkataba wa bandari ya bagamoyo. Kwa hali hii sijui sekta gani itapiga hatua kwa haraka Tanzania kama urasimu wa mikataba umekamata sekta zote[emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 1190044
Mkuu siku kitendo cha ubakaji kilichokuwa kinafanywa na Suge Knight alikuwepo na BIG notorious kwenye ile hotel na kumbuka wakati huo BIG alishaanza kuwika sanaaa yani alikuwa rafiki rival wa 2pac.Naomba nikusahihishe kuhusu kupugwa risasi kwa tupac na kwenda kulazwa hospital ilikua sio issue ya BIG Notorious bali kuna mtu mwingine aliekua rafiki wa 2pac na ndo aliemfanyia issue ya ubakaji kwa kumtengenezea zengwe tafuta vizuri story kamili
Get lost, i have no time to argue with your shits.Sijui wewe unapata wapi habari zako; unaandika pumba kweli na tena hujui unaloandika. Kesi zenyewe hazijaamuliwa bado ziko mahakamani halafu wewe unakurupuka eti alishindwa New York. Leta basi hiyo hukumu ya New York utuonyeshe hapa.
Malamiko ya EMI dhidi ya Kanye hapo US District Court Southern New York ni haya.
Kesi zilizokwisha tolewa hukumu na mahakama hiyo ni hizi hapa
U.S. District Court • Southern District of New York
www.nysd.uscourts.gov
Sasa wewe umetoa wapi hukumu yako kama siyo mambo ya kijiweni kutoka shule za kata
Poyoyo ni nani wewe embu mtaje mmoja tu?Mkuu acha kupambna na mapoyoyo.
Nguvu zako bora uzitumie kwenye vitu vya msingi.
Acha mawazo ya kimaskini wewe! Kuna label ngapi duniani ambazo zinaongozwa na kumilikiwa na wasanii?! Au hata hapa Tanzania kuna label ngapi zinamilikiwa na wasanii?! Hivi huyo Diamond asimuogope Mavoko ambae tayari alishakubalika halafu aje kumuogopa Harmonize ambae alimsaini wakati hajulikani na yeyote nje ya circle ya Diamond mwenyewe!Ndio maana anasaini wasanii kwa mikataba ya kibeberu sana, sababu anajua lazima itafika muda watampiku tuu.
Huwa wanalazimishwa kusaini?Mikataba ya namna hii ni mibovu kwa sababu inamgeuza msanii husika kuwa mwajiriwa wa lebo husika. Yani mkataba unakuwa haumruhusu kujiendeleza yeye kama yeye bali kuiendeleza lebo.
Kwanini iwe kosa?! Tatizo ni twisting! Kwa mfano, mleta mada na wengine wengi tu wanadai eti Harmonize anabaniwa kwa sababu there's no way anaweza kuachwa ampite Diamond!!!Najaribu kushangaa Leo wanaoona Hamo kutaka WCB ni kosa wakati hata huyo Mond alitoka sehemu na tukashangalia kabisa kuwa ni Bora walikuwa wanamnyonya nikwambie vijana wenzangu anayeijua tamu au Chungu ya ndoa ni Yule aliyemo kwenye ndoa kwa hiyo Hamo anajua kwanini ameamua kuondoka hapo
We jamaa una matatizo au uko nyuma sana hilo mbona linajulikana toka wanatoa ngoma ya Aiyola wewe ulikuwa bado uko Nyangwinde?
.
Mikataba kama hii wala si ya kwanza sikutukani umechelewa sana kuja mjini 2pac shakur alisaini mkataba wa maisha, Dr dre pia alisaini mkataba wa maisha kabisa 2pac huko aliko anajua kilichompata baada ya kuleta ujuaji. (R.I.P)
.
Hata hivi sasa una habari Kanye west ana mkataba wa maisha wa kufanya kazi ya muziki bila kuacha?
Mkataba wa harmonize ni miaka 10 na sio yeye tu aliyesaini hata mboso, Lavalava na Ravanny nao wana mkataba kama huohuo hata aliyeondoka mavoco.Hivi mkuu unadhani msanii akiwa mbele ndio anakua na akili saaaaana....wao pia mapopoma tu, sometime wanaingia katika mikatabata sababu ya tamaa.
Mtu ukute mkataba wake unampa mambo mazuri ambayo hana na ukite haja engage lawyer wa kumshauri unakuta kaingia kichwa kichwa tu lakini baadae akija kuanza kuyasikilizia maumivu ndio fahamu zinamtudi.
Kanye mwenyewe anamikesi kibao ya kupinga hiyo mikataba yake.
Kwa hiyo mikataba ya kinyonyaji hata hao wasanii wa duniani huko wanaiingia sana maana hata wao ni ndezi vile vile. Hivi unahisi KONDE Boy angekua kama alivyo leo angekubali kusainishwa 15yrs? Ile ilikua pressure ya uhumu wa maisha na zile ahadi alizoahidiwa akaona hapa ndio penyewe na hii haiondoi haki sasa ya kupinga huo unyonyaji.
Period
Hapa tunaongelea mada husika iliyopo mezani.labda hujawahi kusoma post zangu huko nyuma kwa sababu huwa sipost kwenye jamvi hili hap isipokuwa kwa kuwa thread hii ni ya kisheria zaid ya kiudaku. Majibu ya jumla huwa siyapendi kabisa, ukinijibu mimi, niambie mimi usiniunganishe na wengine. Mimi sijamponda Diamond popote, at the best nilisema makosa ni kwa wanasheria wao. lakini sasa hizi genralization kuwa "mnapomponda Diamond" kama vile kweli umesoma "ninapomponda" mtu yeyote hapa huwa kweli zinaniudhi sana.
Hapo nakuunga mkono moja kwa moja, sometimes tamaa ndio zinafanya mtu aingie mkataba kwa kukurupuka ndio maana hata Mavoko alivyoona kwamba mkataba haumfai akaamua kuondoka vijana wengi wanachiwaza ni kuwa gari na kuishi nyumba nzuri akikuta mkataba unapewa gari na kukodiwa nyumba basi anaingia kusign bila kujua unaweza kukodiwa nyumba miaka yote na gari mwisho wa siku mkataba unaisha unatolewa kwenye nyumba na umaarufu wako wote umeisha.Hivi mkuu unadhani msanii akiwa mbele ndio anakua na akili saaaaana....wao pia mapopoma tu, sometime wanaingia katika mikatabata sababu ya tamaa.
Mtu ukute mkataba wake unampa mambo mazuri ambayo hana na ukite haja engage lawyer wa kumshauri unakuta kaingia kichwa kichwa tu lakini baadae akija kuanza kuyasikilizia maumivu ndio fahamu zinamtudi.
Kanye mwenyewe anamikesi kibao ya kupinga hiyo mikataba yake.
Kwa hiyo mikataba ya kinyonyaji hata hao wasanii wa duniani huko wanaiingia sana maana hata wao ni ndezi vile vile. Hivi unahisi KONDE Boy angekua kama alivyo leo angekubali kusainishwa 15yrs? Ile ilikua pressure ya uhumu wa maisha na zile ahadi alizoahidiwa akaona hapa ndio penyewe na hii haiondoi haki sasa ya kupinga huo unyonyaji.
Period
Mkataba wa harmonize ni miaka 10 na sio yeye tu aliyesaini hata mboso, Lavalava na Ravanny nao wana mkataba kama huohuo hata aliyeondoka mavoco.
.
Kitu kinachokujaga kuleta migogoro ni kuona na mimi I CAN wakati huna kitu unatafuta pakutokea unapewa mkataba usome na una ahidiwa kufanya makubwa kwanini usikatae?
.
Harminize ana mkataba ambao hauishi ndio maana nilitoa mfano wa EMI na Kanye yani ni sawa na mikataba ya mpira ataenda koteee ila klabu iliyomtoa ina fungu lake.
.
Una habari Samatta hata akienda R.madrid Simba, african lyon zina pesa yao pale?
Elewa kuwa mada hii ina wafuasi wa wanamuziki wahusika pande zote mbili, na vile viile ina wafuasi wa mambo ya sheria za mikataba ambao siyo wafuasi kabisa wa wanamuziki wahusika. Nilichokuambia ni kwamba nijibu mimi, usisema unatujibu sisi kwa vile hujui mimi ninafuatilia mada kwa msingi wa sheria za mikataba lakaini wewe unanifanya kama mmoja wa mashabaiki wa kudini mojawapo. Kama unataka kutoa jibu la jumla usi-niquote mimi, jibu plainly.Hapa tunaongelea mada husika iliyopo mezani.
Habar za Mimi kufuatilia mada zako za nyuma huo muda sina.
Jadili kulingana na mada husika iliyopo mezani,na katika mada hii hauko peke yako wanaojadili ni wengi kwa ni lazima nitoe majibu ya kiujumla kuwajumuisha wote.
Siwezi kumquote kila mtu aliyechangia mada itakuwa ni uharibifu wa kujaza space humu Jf.
Power 105.1Power breakfast channel gani?......... Maelezo yako ya jumla jumla yanafanya story yako kutokuwa kweli
Muone huyu kajadiliane na wanao hukoKwa samatta mkuu ushaingia chaka wacha tusiendelee nako, inabidi ukasome upya na kama unaushahidi weka hapa.
Simba haki yao iliishia pale Samatta alipotua Genk. Makubaliano yalikua endapo Mazembe watamuuza Mbwana team yoyote ile lazima wapate nao mgao kidogo. So usije ukategemea kama Genk itamuuza Mbwana eti Simba watapata kitu. Na generally inaonyesha mikataba ya football huijui vizuri. Eti club itakayo kutoa lazima ipate kitu katika kila transfer yako?